Kimenuka: Muna Love afikishwa Polisi na mamake mzazi kwa kumsingizia amefariki, hana mtoto mwingine zaidi ya Patrick

Kimenuka: Muna Love afikishwa Polisi na mamake mzazi kwa kumsingizia amefariki, hana mtoto mwingine zaidi ya Patrick

Wabongo walivyo mkalia kooni uyu dada na maisha yake hii nguvu tungeitumia kwenye kukuza uchumi basi hao USA wangekuja tu kukopa kwetu ni hatari sana.
 
Dar unaweza uzunguke mtaa mzima kutafta panga ukose, kweli mjin akili

Sorry kumbe npo nje ya mada.
 
muna jina lake ROZE, yaaani wenye majina kama hayo huwa mapepe sana
 
Back
Top Bottom