Kimenuka: Muna Love afikishwa Polisi na mamake mzazi kwa kumsingizia amefariki, hana mtoto mwingine zaidi ya Patrick

Hayo ni mambo ya familia tuwaachie wenyewe hayatuhusu bhana
 
Ma tabulalasa ndio yamjazana bongo muvi. Mbaaf kabisa.
 
Hivi unapata wapi ujasiri wa kumsingizia mzazi wako amefariki?
Wasanii wa bongo bhana

Kwa taarifa kama kuna Watu ambao ' Wamewauwa ' Wazazi wao kwa Kuwasingizia ili tu wapate ' favors ' fulani kama Mikopo basi ni Wanafunzi wa Vyuo Vikuu walio chini ya HESLB. Tulia na fanya ' Utafiti ' wako kiumakini juu ya hili kwani binafsi wakati nikisoma Chuo Kikuu nimelishuhudia ' vividly ' kabisa na kuna mmoja wao aliandika Mama yake ' Kafariki ' sasa hivi ni Mtendaji mzuri tu wa Kiserikali ( ila namhifadhi ) na kuna mwingine katika ile Fomu ya Mkopo alijaza Wazazi wake ' wamefariki ' wakati kumbe alikuwa amewaacha Kijijini Kwao wakiwa Shambani wanalima huku wanaimba nyimbo za Morali.
 
Kuna uzi humu unaeleza wengi wa wasanii wa bongo wanatumia madawa ya kulevya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…