Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahaaHii ni familia au genge la drama?
hao ndio kina meku bwana " maslahi mbele mbele kama TorchHii ni familia au genge la drama?
Hii mpya nani anaolewa??Mambo ni motoooo,ndo maana muna kafuta grup la michango ya sendoff aiseee mparangano mkali
hahaaa " Acha kumfananisha bro shetani na vitu vya kijinga aiseeMademz bana....yan Demz akikosa AKILI ... anafanana na SHETANI KABISA.
Hii mpya nani anaolewa??
usikute kweli ujue " mambo ya kuliwa kuku na mayai ndio huwaga hivi aiseeHii mpya nani anaolewa??
Mambo ya familia yana mengi mkuuusikute kweli ujue " mambo ya kuliwa kuku na mayai ndio huwaga hivi aisee
Hivi unapata wapi ujasiri wa kumsingizia mzazi wako amefariki?
Wasanii wa bongo bhana
kweli " mkuu" familiar hizi",.... huwa zinabeba siri nzito mnooo ..we acha tuMambo ya familia yana mengi mkuu
haha. hahaMaisha ya wasanii Wa bongo movie ni script kabisa ya kutoa movie Kali ila nashangaa movie zao ni mbovu zinazidiwa na movie za maisha yao
Shetani aheshimiwe bwana na dhana yake kutukuzwahahaaa " Acha kumfananisha bro shetani na vitu vya kijinga aisee
Haaahaa...hii familia ni zaidi ya familia ya DomoHii ni familia au genge la drama?
Kafuta wapi?Mambo ni motoooo,ndo maana muna kafuta grup la michango ya sendoff aiseee mparangano mkali
Kuna uzi humu unaeleza wengi wa wasanii wa bongo wanatumia madawa ya kulevyaMama mzazi wa msanii wa Bongo Movies Muna Love, Ritha Moyo amempeleka Polisi mwanaye huyo kwa makosa ya mtandaoni ya kumkana kuwa amefariki, kumtukana na kumkana mjukuu wake aliyeko Moshi mkoani Kilimanjaro baada ya kudai hana mtoto mwingine zaidi ya marehemu Patrick Peter, jambo ambalo mama huyo amedai si kweli kwani ana mtoto mwingine wa kiume mwenye umri wa miaka 13.
Soma> Siri nzito baada ya kifo cha Patrick..Muna alikuwa na mtoto mwingine - JamiiForums