PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,518
- 13,144
Hamna kitu hapo anataka asepe na hela huyo Muna,hivi kweli unaweza kuchanga hela bwana/harusi humjui ukizingatia mchangishaji ni mtu wenu wa karibu?!...
Kwahiyo unakubali au unakataa?Oooh. Inawezekana mkuu
NakubaliKwahiyo unakubali au unakataa?
Kafuta wapi?
Hayo ni mambo ya familia tuwaachie wenyewe hayatuhusu bhana
mama ana kosa gani?Huyo Mama na mwanae wote ni genge la wahuni.
Uchawi wake nini?Mmh huyo mama ake nae anaonekana mchawi tu
Hahaaaa duAlikuwa anaigiza