Kimenuka: Muna Love afikishwa Polisi na mamake mzazi kwa kumsingizia amefariki, hana mtoto mwingine zaidi ya Patrick

Kimenuka: Muna Love afikishwa Polisi na mamake mzazi kwa kumsingizia amefariki, hana mtoto mwingine zaidi ya Patrick

Kuna muda nasema ahsante Mungu kuniondolea mzazi wangu Niko mtoto na kuna wakati natamani angekuwepoo
 
Huyu bitch hamna kitu kichwani.Ila anaiwakilisha vizuri Bongo mavi.Big up Muna lose a.k.a Lady Lofa.Piga kazi.
 
Mama angetulia tu,kama mtoto hakutaki haina haja ya kulazimisha
 
Labda sio Mama yake huyu bi mkubwa au nae anawashauri wabaya.....Kuna hayupo sawa na hakuwa sawa ila mimi ninavyojua mama bora huficha upungufu wa mwanae mbele za watu
 
Back
Top Bottom