Kimenuka nchi jirani Wananchi wadai Ruto anashughulikia mafisadi kama Shujaa Magufuli

Kimenuka nchi jirani Wananchi wadai Ruto anashughulikia mafisadi kama Shujaa Magufuli

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,639
Leo tu taasisi ya kupambana na Rushwa imewakamata Magavana watatu na wako korokoroni hadi kesho watakapopandishwa kizimbani

Waziri wa Afya amekabidhi kwa DCI mafaili ya zaidi ya mafisadi 100 waliofisadi bima ya afya

Ndio Wananchi wamedai Shujaa Magufuli kafufukia Kenya
 
Back
Top Bottom