Kimenuka: Ommy Dimpoz amjibu Diamond, amuita mwanae

Kwahiyo yule aliyeeingia studio na kuandika dis kwa wenzie huyo sio shoga
 
Ommy ni shoga halisi nimeamini kweli mama mzazi wa mtu unamuhusisha na upuuzi mitandaoni hivi

kweli huyu jamaa nimeamini leo kua anapakuliwa kisamvu cha kopo
Ndio baba enu huyo....hata akiwa Chakula Ndio kishamkula mama enu
 
Mara nying huwa wanasema Ali kiba ndio anapenda bifu kwa kuwa ananufaika nalo ila sasa na Diamond kaonesha wazi kuwa ananufaika na bifu na ndio maana analitafuta, hapa katikat hatukusikia misuguano yoyote ya hawa watu na palikuwa kimyaa ..imekuwaje yeye kuanza kuwachokoza wenzake na hawajafanya chochote kibaya kwake? Hata mimi uniite Shoga harafu nina Bomu ? Kwanini nisikulipue ...potelea mbali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi TCRA huwa haihusiki na yale matusi ya nguoni kule INSTAGRAM. Maana naonaga raia wanajiachia tu bila hofu yoyote

Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
 
Ona mangenita alivyomuumbua bi sandraa[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]

My own brand!!
 
Mkuu umenifurahisha[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…