Naskia kaolewa na kiben 10hapa ommy katoa picha na bi sandra tunasubir na Q-chillah naye aje na picha
mama yetu kazidi na vi ben 10 bwana akanywe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umenichekeshaHahaha na atashusha taarabu
Yaani alitegemea kiba na ommy wapoteze nguvu kumtungia nyimbo imekua taarabu?
Hayo waliyafanya khadija kopa na nasma kidogo (rip)?????
Sasa hivi unapigwa za uso twitter.... anashtuliwa instagram
Akalielie facebook kama anataka
Hahahah
HV we Dada unalipwaga na diamond maana hayo mapovu unayotoa sio ya nchi hii
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] duuh malkia sio kwa domo hilo
Hii ni Mara ya 2 ommy anaongelea hili na Bi sandrah hajawahi kujibu hii ina kaukweliNI KWELI NI MAMAKO, LAKINI NI MKE WA KIJANA HUYO. KIJANA ANA KILA SABABU ZA KUMUELEZEA MAMAKE.
MAISHA BINAFSI, KUYAFANYA KUWA YA KITAIFA NDIO HAYO SASA!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yaani nahis anapumulia gesiwatoto wamekorofishana uko mitaani ila mmoja alivyoona anapoteza pambano katumia silaha za kutoana damu,Diamond kamtukanisha mama ake kibwege tu na imekua habari kwenye mitandao kua watoto wenzake wanamla bi mkubwa wake hakika usianzishe ugomvi wa mawe kama unaishi nyumba ya vioo ila nimewaelewa sana Diamond na bi mdashi wake maana Diamond anajiweka kwa wahenga wakati bi mdashi anapumzika kwa vi-Ben 10 hee heeee heeee mdogo wangu Kiba angepoteza pambano kwa upole wake amshukuru Dimpoz kashusha Nuclear Bomb mpaka wadau wameanza kuomba amani ichukue nafasi yake maana kijana Nassib akutegemea kama wangemvua nguo kabisa duh ila ingekua mimi ningewasaka ki-mtaani aiseeeee yaani unaweka picha ya bi mdashi kuthibitisha tetesi za muda mrefu kua ni baba wa kambo.
We bust on Bad Boys, niggas fucked for lifehii vita inataka kuelekea kwa kina pac n big ''u claim to be a player but i f@#k yo wife" pac's verse
Teh.. Hana jeuri hiyoo..Alikuwa anafanya siri kulinda heshima ya rafiki yake.
Sasa kwa kuwa leo mmemkera kaweka mambo hadharani...umemuona shemeji Sasa?!
Mkuu.. Mama apewe heshima yake. Mama yako anaweza kuwa mama yangu pia.Raha ya vita usichague silaha
Prof ujue huu ujinga wa wanawake kutumiwa insta na kwenye mitandaoni mingine umeanza taratibu na Sasa unajua kwa Kasi ya ajabu.Duh!!!haya mambo huwa yanaanza kama madogo baadaye yanakuwa makubwa naona dada mtu kareplay kwa uchungu sana[emoji116]
-Ndumilakuwili-
Hivi kwani hamisa alivyo tukanwa ama zari hawakua wanawake tena mama?Mkuu.. Mama apewe heshima yake. Mama yako anaweza kuwa mama yangu pia.
Mond na kuvuka kwake border baado ana mambo ya uswahilini!Naye Ommy angetumia hekima anyamaze asimjibu kitu.Ndo maana mziki wetu haufiki kokote.
Basata Fungia Wote Hawa.
Wife vp mbona povu limepungua?Hahaha my silent follower welcome in my kingdom.
Vice vesawatoto wamekorofishana uko mitaani ila mmoja alivyoona anapoteza pambano katumia silaha za kutoana damu,Diamond kamtukanisha mama ake kibwege tu na imekua habari kwenye mitandao kua watoto wenzake wanamla bi mkubwa wake hakika usianzishe ugomvi wa mawe kama unaishi nyumba ya vioo ila nimewaelewa sana Diamond na bi mdashi wake maana Diamond anajiweka kwa wahenga wakati bi mdashi anapumzika kwa vi-Ben 10 hee heeee heeee mdogo wangu Kiba angepoteza pambano kwa upole wake amshukuru Dimpoz kashusha Nuclear Bomb mpaka wadau wameanza kuomba amani ichukue nafasi yake maana kijana Nassib akutegemea kama wangemvua nguo kabisa duh ila ingekua mimi ningewasaka ki-mtaani aiseeeee yaani unaweka picha ya bi mdashi kuthibitisha tetesi za muda mrefu kua ni baba wa kambo.
Hamisa pia ni mama, alivyoitwa Bitch mlimpa heshima yake??Mkuu.. Mama apewe heshima yake. Mama yako anaweza kuwa mama yangu pia.