Kimenuka: Ommy Dimpoz amjibu Diamond, amuita mwanae

Kimenuka: Ommy Dimpoz amjibu Diamond, amuita mwanae

52e0f8b6b2c47ef2eab57339160d0b01.jpg
LA magadi hilo[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha na atashusha taarabu

Yaani alitegemea kiba na ommy wapoteze nguvu kumtungia nyimbo imekua taarabu?

Hayo waliyafanya khadija kopa na nasma kidogo (rip)?????

Sasa hivi unapigwa za uso twitter.... anashtuliwa instagram

Akalielie facebook kama anataka

Hahahah
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umenichekesha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
watoto wamekorofishana uko mitaani ila mmoja alivyoona anapoteza pambano katumia silaha za kutoana damu,Diamond kamtukanisha mama ake kibwege tu na imekua habari kwenye mitandao kua watoto wenzake wanamla bi mkubwa wake hakika usianzishe ugomvi wa mawe kama unaishi nyumba ya vioo ila nimewaelewa sana Diamond na bi mdashi wake maana Diamond anajiweka kwa wahenga wakati bi mdashi anapumzika kwa vi-Ben 10 hee heeee heeee mdogo wangu Kiba angepoteza pambano kwa upole wake amshukuru Dimpoz kashusha Nuclear Bomb mpaka wadau wameanza kuomba amani ichukue nafasi yake maana kijana Nassib akutegemea kama wangemvua nguo kabisa duh ila ingekua mimi ningewasaka ki-mtaani aiseeeee yaani unaweka picha ya bi mdashi kuthibitisha tetesi za muda mrefu kua ni baba wa kambo.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yaani nahis anapumulia gesi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hii vita inataka kuelekea kwa kina pac n big ''u claim to be a player but i f@#k yo wife" pac's verse
We bust on Bad Boys, niggas fucked for life
Plus Puffy trying to see me, weak hearts I rip
Biggie Smalls and Junior M.A.F.I.A. some mark-ass bitches
We keep on coming while we running for your jewels
Steady gunning, keep on busting at them fools
You know the rules
Lil' Caesar go ask your homie how I'll leave you
Cut your young ass up, leave you in pieces, now be deceased
Little Kim, don't https://jamii.app/JFUserGuide around with real G's
Quick to snatch your ugly ass off the streets
So https://jamii.app/JFUserGuide peace! I'll let them niggas know it's on for life
Don't let the Westside ride the night haha
Bad Boy murdered on wax and killed
https://jamii.app/JFUserGuide with me and get your caps peeled
You know

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh!!!haya mambo huwa yanaanza kama madogo baadaye yanakuwa makubwa naona dada mtu kareplay kwa uchungu sana[emoji116]
f50501607091ff483becf6838d8586eb.jpg

-Ndumilakuwili-
Prof ujue huu ujinga wa wanawake kutumiwa insta na kwenye mitandaoni mingine umeanza taratibu na Sasa unajua kwa Kasi ya ajabu.

Walianza kwa kumtusi Hamisa, kisha zari Sasa Kendra nakuambia kesho itakuwa ni zamu ya mwanamke mwingine.

Kipindi cha nyuma wema alitusiwa sana akina Irine na wengine.

Cha ajabu hakuna mwanamke yyte aliyesimama kusema jambo hili halikubaliki yaan wanawake nao tukawa ni sehem ya kutoa matusi hayo pasi kujali kwamba wanawake hawa hawana tofauti na wasiokuwa mastaa.

Haya matusi ya nguoni ambayo tunaruhusu hawa vijana wadogo wa kiume watutukane ni kwasabb wanajua wanawake hatupendani na hivyo hakuna atakaye simamia kulipinga hili.

Hivi wanawake wakipaza sauti unafkir hata kuna mtu angenyua simu yake na kuandi ka upuuzi huu?

Cha ajabu kabsa huyo aliyempost Kendra na huyo shamte kutumiwa hizo picha ba mwanamke. Yaani nkajiuliza hivi ni uzuz wa kiasi Gani huu? Yaan mtu unamfuatilia mwanamke mwenzio ili umpige picha kumdhalilisha kwenye mitandao?

Nakuambia ukombozi wa mwanamke hauwez kufika ikiwa Hali ya chuki miongoni mwa wanawake haijaondoka.

I feel so sad kwa wahanga wote wa huu udhalilishaj kuanzia hamisa, zari na Kendra

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu.. Mama apewe heshima yake. Mama yako anaweza kuwa mama yangu pia.
Hivi kwani hamisa alivyo tukanwa ama zari hawakua wanawake tena mama?

Ukweli insta wiki hizi mbili kumeibuka tabia ya kuwa tukana sana wanawake. Na sijui nani ndiye chanzo cha haya. Ila huu udaku plus mange it's really weird.
Mond na kuvuka kwake border baado ana mambo ya uswahilini!Naye Ommy angetumia hekima anyamaze asimjibu kitu.Ndo maana mziki wetu haufiki kokote.

Basata Fungia Wote Hawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
watoto wamekorofishana uko mitaani ila mmoja alivyoona anapoteza pambano katumia silaha za kutoana damu,Diamond kamtukanisha mama ake kibwege tu na imekua habari kwenye mitandao kua watoto wenzake wanamla bi mkubwa wake hakika usianzishe ugomvi wa mawe kama unaishi nyumba ya vioo ila nimewaelewa sana Diamond na bi mdashi wake maana Diamond anajiweka kwa wahenga wakati bi mdashi anapumzika kwa vi-Ben 10 hee heeee heeee mdogo wangu Kiba angepoteza pambano kwa upole wake amshukuru Dimpoz kashusha Nuclear Bomb mpaka wadau wameanza kuomba amani ichukue nafasi yake maana kijana Nassib akutegemea kama wangemvua nguo kabisa duh ila ingekua mimi ningewasaka ki-mtaani aiseeeee yaani unaweka picha ya bi mdashi kuthibitisha tetesi za muda mrefu kua ni baba wa kambo.
Vice vesa
 
Back
Top Bottom