Kimenuka: Ommy Dimpoz amjibu Diamond, amuita mwanae



Jionee wenyewe mambo yamenogaa[emoji115] [emoji115] [emoji115]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kijana Ommy naona ameshika kabisa kahotel ka mtoto kiani kuonyesha anaumiliki mwili wa mama huyo lijana dimondi akubali tu anaetoka na taulo chumban kwa mama yako ndo baba yako awe mpole tu dogo ashakula vyake hapo amwite tu baba Ommy yaishe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi walishindwa kujibizana wenyewe bila kuwahusisha wazazi....
Heshima ya mzazi lazima itunzwe.
Si kila mzazi wa mtu au wazazi wa watu hueshimiwa...Kuna wazazi wengine wanajivunjia heshima wenyewe..Ebu fikiria mambo anayofanya mama yake huyo alianzisha pambano unamuona anavyoishi pasipo jali heshima yake kama mama na mtu mzima......Pia alianzisha maneno ya kwenye kanga bado hajaelimika......yeye wa kimataifa aishi kimataifa ili wenzake wajifunze toka kwake......Bado anaishi ktk maisha ya mipasho kama Isha mashauzi...
 
Kwani kuna tatizo kama Dimpoz kamla mamake Dimond??? mi sioni cha ajabu hapo kama kweli na ni haki yake kusema..kama kweli kamla yule ni demu wa dimpoz akienda kwa dimond ataitwa mama.

Sent from myself
 
Ungeyasema hata tangu diamond alivyomuita mobeto "bitch" mobeto nae Ni mzazi na Ni mwanamke kama hao wanawake unaowatetea sasa hivi,Kwa bahati mbaya wasanii waliopo Kwa sasa sijaona msanii anaewakosea heshima wanawake kama diamond,amekua ndo ring Leander Wakutoa matusi juu ya mama,dada na Shangazi Wa watu wengine,wache na yeye asikilizie how it hurts...
Nilitamani ommy hata angekuwa na picha ya uchi ya Bi Sandra angetuwekea tu tuone vitako vya Bi Sandra vilivyo vikavu..siku zote daw ya jeuri Ni kiburi..!!
 
Remember that not every woman will be a mother. "Mama"
 
Bifu za kishoga hizo..
Mimi nataka bifu hadi vyuma vilie kama kina pack shakur big na wajinga wajinga wa kipindi hiko 1992-1996
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…