playboy babu
JF-Expert Member
- Nov 12, 2015
- 2,648
- 1,566
akili za diamond n mbovu ukikaa kimya anaona kashinda au umemuogopa hiyo ndo dawa ili siku nyingine afikirie Mara mbiliMond na kuvuka kwake border baado ana mambo ya uswahilini!Naye Ommy angetumia hekima anyamaze asimjibu kitu.Ndo maana mziki wetu haufiki kokote.
Basata Fungia Wote Hawa.
Haya maneno niliyasema na sio mara Moja. Hata hamisa alipojifungua kwa zari nilisema.Ungeyasema hata tangu diamond alivyomuita mobeto "bitch" mobeto nae Ni mzazi na Ni mwanamke kama hao wanawake unaowatetea sasa hivi,Kwa bahati mbaya wasanii waliopo Kwa sasa sijaona msanii anaewakosea heshima wanawake kama diamond,amekua ndo ring Leander Wakutoa matusi juu ya mama,dada na Shangazi Wa watu wengine,wache na yeye asikilizie how it hurts...
Nilitamani ommy hata angekuwa na picha ya uchi ya Bi Sandra angetuwekea tu tuone vitako vya Bi Sandra vilivyo vikavu..siku zote daw ya jeuri Ni kiburi..!!
Aliweka picha ya uchi ya Kendra ingekusaidia nini?Ungeyasema hata tangu diamond alivyomuita mobeto "bitch" mobeto nae Ni mzazi na Ni mwanamke kama hao wanawake unaowatetea sasa hivi,Kwa bahati mbaya wasanii waliopo Kwa sasa sijaona msanii anaewakosea heshima wanawake kama diamond,amekua ndo ring Leander Wakutoa matusi juu ya mama,dada na Shangazi Wa watu wengine,wache na yeye asikilizie how it hurts...
Nilitamani ommy hata angekuwa na picha ya uchi ya Bi Sandra angetuwekea tu tuone vitako vya Bi Sandra vilivyo vikavu..siku zote daw ya jeuri Ni kiburi..!!
ukishaamua kuingia kwenye vita usimchagulie adui silaha ya kutumia kaka...kila mtu anatafuta namna ya kumuumiza mwenzie so hata kama diamond ana habar za mamake ommy amwage tuu si wameamua bwanaHilo nalo linatafuta kiki tu. Linajikuta na lenyewe kichwa. Sasa mama mtu hapo anaingiaje.? Akili shida anafikiri kama mwanamke nayeye. Awaache wanaume wapambane wenyewe.
diamond ndo ana mambo ya kipuuzi kawachokonoa wafanyeje? acha wamoe vyake afu aingie tena studio apake tena na ommy nae amjibu mwisho tutumiwe na oicha za utupu za hawa wazaz kabisaaaaHawa watoto watatu wa Kigoma waige mfano wa kaka zao Chege Chigunda mtoto wa mama Said au Banana Zorro.......jamaa huwa hawana habari za kipumbavu pumbavu.
Sent from my Compaq desktop-1997 Using Jamiiforums desktop app
Ulisema hivi wakati Hamisa Mobeto anaporomoshewa matusi na Dimond?!Mkuu.. Mama apewe heshima yake. Mama yako anaweza kuwa mama yangu pia.
Kashasema ndoa ya kiislam ni halal Hiyo. Mpk kwa Allah. Kuachana, kuacha, kuachwa vitu vya kawaida hivo mbona yeye kaachwa Hana jipya Aseme kingine hanaga jema Kwenye familia ya Diamond siku zoteKama mambo ya Bi sandrah ndo hivi sasa ommy kakosea wapi[emoji116] [emoji116]
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuh.. Kea iyo wewe unaona fresh mama akidhalilishwa na mshikaji.?ukishaamua kuingia kwenye vita usimchagulie adui silaha ya kutumia kaka...kila mtu anatafuta namna ya kumuumiza mwenzie so hata kama diamond ana habar za mamake ommy amwage tuu si wameamua bwana
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaa waleikum msalaam jmnJamani babe wangu.
Asalam aleykum. Najua ushajua ninavyojiskia nikikuona.
Dah! Unaanza kutoa siri za chumbani
Wakati kunasiku nilikufanya hadi ukasema umefika juu ya mlima
Na kule juu ukasema kuna nice view
Huyo Hamisa Mobeto naye kawa mama? Awatunze watoto wafikie umri alionao kina Diamond ndio tutaelewa kweli ni mama. Ndio maana nasema siyo kila mwanamke anaweza kua mama.Ulisema hivi wakati Hamisa Mobeto anaporomoshewa matusi na Dimond?!
Au yule sio mama?!
Sa hii tunaongea Madale wameweka matanga....Pumbavu siku nyingine Dimond atajifunza kuheshimu wenzieKama mambo ya Bi sandrah ndo hivi sasa ommy kakosea wapi[emoji116] [emoji116]
Sent using Jamii Forums mobile app
We hata hujui unatetea kitu gani.Huyo Hamisa Mobeto naye kawa mama? Awatunze watoto wafikie umri alionao kina Diamond ndio tutaelewa kweli ni mama. Ndio maana nasema siyo kila mwanamke anaweza kua mama.
hahahhhhhaaahahahhaahahahh........... Mjini kweli kuna mambo tena mazito zaidi ya bombadear kuwekwa kizuizini kwa madeni.....Kama mambo ya Bi sandrah ndo hivi sasa ommy kakosea wapi[emoji116] [emoji116]
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu Dada tatizo mnamchukia sababu anafichua ukweli na siku zote ukweli unauma, nampenda huyu Dada mpaka kwenye moyoKashasema ndoa ya kiislam ni halal Hiyo. Mpk kwa Allah. Kuachana, kuacha, kuachwa vitu vya kawaida hivo mbona yeye kaachwa Hana jipya Aseme kingine hanaga jema Kwenye familia ya Diamond siku zote
Ugomvi upi mwingine aliingiliaIla oomy anaingilia sana maugomvi ya watu
Siamuache dai ajibu mwenyewe?
Sent using Jamii Forums mobile app
HV unajua maana ya kidhalilishwa mkuu?? Kuna lugha yoyote ya udhalilishaji ommy katumia hapoDuuh.. Kea iyo wewe unaona fresh mama akidhalilishwa na mshikaji.?
Afu numbisa katika makatuni wangu wa hapa JF ww namba moja.Shosti kumbe ndo walikufanyia hivyo aiseee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ungeyasema hata tangu diamond alivyomuita mobeto "bitch" mobeto nae Ni mzazi na Ni mwanamke kama hao wanawake unaowatetea sasa hivi,Kwa bahati mbaya wasanii waliopo Kwa sasa sijaona msanii anaewakosea heshima wanawake kama diamond,amekua ndo ring Leander Wakutoa matusi juu ya mama,dada na Shangazi Wa watu wengine,wache na yeye asikilizie how it hurts...
Nilitamani ommy hata angekuwa na picha ya uchi ya Bi Sandra angetuwekea tu tuone vitako vya Bi Sandra vilivyo vikavu..siku zote daw ya jeuri Ni kiburi..!!