Kimenuka: Ommy Dimpoz amjibu Diamond, amuita mwanae

Wapambane tuu, wakimaliza watuambie
 
Salam anamshauri vibaya Diamond, wanaamini bifu ndo zimewasaidia kufika hapo walipo, may be Yes,ila wasidhani ndo zitawasaidia kila siku. Leo Diamond katukaniwa mama yake. Ommy nae kaona apige panapouma. Kama alivyosema ukiwa vitani silaha yoyote itakayomuumiza adui itumie. Aibu kwa kweli hawa vijana wa Kigoma kufanyiana upumbavu kama huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…