Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Helo[emoji139][emoji139][emoji139]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Helo[emoji139][emoji139][emoji139]
Haya binti ameiliza familia nzima ya Madale.Kwel ommy ni binti.
Naskia umenidiss kwenye verse yako ya pili...Helo
Mkuu acha jazbaHilo bwabwa nalo linatafuta kiki tu. Linajikuta na lenyewe kichwa. Sasa mama mtu hapo anaingiaje.? Akili za matako nazo ni shida anafikiri kama mwanamke nayeye. Awaache wanaume wapambane wenyewe.
Kwa wazazi ndiyo penyewe kabisa maana ndiyo inauma kumoyo vizuri kabisa.Hivi walishindwa kujibizana wenyewe bila kuwahusisha wazazi....
Heshima ya mzazi lazima itunzwe.
Ehehehe na bado nataka nikarushe kale kapicha nilikopiga na baba ako,,Naskia umenidiss kwenye verse yako ya pili...
Bimkubwa kagongwa
Ndio muachege uchukozii,,kwan dai kilimuwasha nini kuwachokoza wenzieKwel ommy ni binti.
Kumuingiza Bi.mkubwa ndiyo vizur kabisa kwasababu inauma vibaya mno.Ommy ni mjinga,kumuingiza bi sanura kwenye ugomvi wake na mondi ni upuuzi...kwanini wasitukanane wenyewe?yule mama kakosa nini??
Maza si anapenda dogo dogo
Yaishe bwana.. ila najua unatafuta tu Kiki wewe...Ehehehe na bado nataka nikarushe kale kapicha nilikopiga na baba ako,,
Yaan we koment zako zinaniuaga mbavuKumuingiza Bi.mkubwa ndiyo vizur kabisa kwasababu inauma vibaya mno.
Kiki wakati namtoaga machozi anabweka kama bundi,Yaishe bwana.. ila najua unatafuta tu Kiki wewe...
HANA UWEZO HUO ANGE KUWA NA UWEZO HUO ONGE ONA MATUNDA MKUUBimkubwa kagongwa
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] haya msalimie AbdulKiki wakati namtoaga machozi anabweka kama bundi,
Ndio dai ajifunze kukalisha domo lake kimyaaknawatu imewachooooooma kama pasi [emoji23][emoji23][emoji23]
ila wenyewe sjui wanafkiria wenzao wana mioyo ya cement that they can't feel!!?
try me