Kimenuka: Ommy Dimpoz amjibu Diamond, amuita mwanae

Ommy ni shoga halisi nimeamini kweli mama mzazi wa mtu unamuhusisha na upuuzi mitandaoni hivi

kweli huyu jamaa nimeamini leo kua anapakuliwa kisamvu cha kopo
 
Kamchokoza mwenyew dai bana

Sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app
 
Ila Hawajui kwamba kiki zinamshusha domo kimuziki zaidi ya kumpandisha maana katk hili akilolianzisha kuna baadhi ya mashabiki keshawapoteza wenye akili zao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Salaam haez kumshauri coz wako wanachokipata kwenye huu udhalilishaji wanaita wenyewe 'kiki' wanapenda sana attention na kuongelewa...hamna anayejielewa kati yao.
Lakn ndo wanajishusha hivo maana kila mtu anajua kwamba domo kiwango chake kimeshuka na hii yote ni kuendekeza taarabu badala ya mziki mzr

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…