me and I
JF-Expert Member
- Jul 8, 2016
- 1,540
- 1,357
- Thread starter
- #101
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alitaka kukunwaNdio muachege uchukozii,,kwan dai kilimuwasha nini kuwachokoza wenzie
Nduki kama ivi yani [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] sikutaka kuhandaika kununua antibiotics maana bacterial jauHahhahahahahaja dadadadekiii,,ukakimbia
Kagongwa kweliOmmy ni shoga halisi nimeamini kweli mama mzazi wa mtu unamuhusisha na upuuzi mitandaoni hivi
kweli huyu jamaa nimeamini leo kua anapakuliwa kisamvu cha kopo
Upande wa Pili siwaoni Leo cjui wako wapiknawatu imewachooooooma kama pasi [emoji23][emoji23][emoji23]
ila wenyewe sjui wanafkiria wenzao wana mioyo ya cement that they can't feel!!?
try me
Ila Hawajui kwamba kiki zinamshusha domo kimuziki zaidi ya kumpandisha maana katk hili akilolianzisha kuna baadhi ya mashabiki keshawapoteza wenye akili zaoSalam anamshauri vibaya Diamond, wanaamini bifu ndo zimewasaidia kufika hapo walipo, may be Yes,ila wasidhani ndo zitawasaidia kila siku. Leo Diamond katukaniwa mama yake. Ommy nae kaona apige panapouma. Kama alivyosema ukiwa vitani silaha yoyote itakayomuumiza adui itumie. Aibu kwa kweli hawa vijana wa Kigoma kufanyiana upumbavu kama huu.
Ulivyocoment umenifanya ni log in fasta kukupa like mana nimecheka hatati khaa.....!
huyu mama sasa aache nayeye kusumbua vijana hizi ndio aibu zake sasa
Lakn ndo wanajishusha hivo maana kila mtu anajua kwamba domo kiwango chake kimeshuka na hii yote ni kuendekeza taarabu badala ya mziki mzrSalaam haez kumshauri coz wako wanachokipata kwenye huu udhalilishaji wanaita wenyewe 'kiki' wanapenda sana attention na kuongelewa...hamna anayejielewa kati yao.
Ushamba wa mrundi haujawahi muacha mtu salamadai ni mshamba sio uswahili wala nn!!
watu wanafkir ukiwa na ela et ushamba unaisha[emoji42] pole yao....
try me
Sio ommy tu hata kiba kwani walimfanya nn wenzie wapo kimya ye anawachokonoaIngawa team mond ila acha apate anachostahili sikuona haja ya yeye kumuimba ommy...
Ommy huwa hana shida na mtu, tena ommy kama anajua vya kumuumiza zaidi aviseme vyote next time aache kumchokonoa mwenzie
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ulivyocoment umenifanya ni log in fasta kukupa like mana nimecheka hatati khaa.....!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kinu cha Nyuklia unacho?Nauza silaha za aina zote aneyehitaji anicheki
Ukianzisha vita usimchagulie silaha adui yako!Ommy ni mjinga,kumuingiza bi sanura kwenye ugomvi wake na mondi ni upuuzi...kwanini wasitukanane wenyewe?yule mama kakosa nini??
Hazikuhuhusu. Zinawahusu wa DSM tu!Dayamondi kamfanyaje huyu Dada dimpoz? Wengine tupo Isyesye hizi habari zisizo na faida zinatupitaga