Kimenuka: Ommy Dimpoz amjibu Diamond, amuita mwanae

Kimenuka: Ommy Dimpoz amjibu Diamond, amuita mwanae

Ndio muachege uchukozii,,kwan dai kilimuwasha nini kuwachokoza wenzie
Sio mara ya kwanza Domo kumdiss ommy

Anazabi kila mtu sawa na wema na hamisa

Na wenzie wamemvumilia

Acha yampate

Hivi Hawezi kufanya mziki bila kudhalilisha wenzie?

Kama ana tatizo la kisaikolojia aende muhimbili wako tele madr maana anachokifanya inawezekana jamaa hajiamini na anajiona amekamilika pale anapozalilisha na kutukana wenzie
 
Duh!!!haya mambo huwa yanaanza kama madogo baadaye yanakuwa makubwa naona dada mtu kareplay kwa uchungu sana[emoji116]
f50501607091ff483becf6838d8586eb.jpg


-Ndumilakuwili-
Ohoooo
 
Huyo Sallam ni mtu wa hovyo kabisa kuwahi kumshuhudia katika tasnia hii changa ya mziki wa kizazi kipya.

Jamaa anapenda malumbano sijapata kuona. Hawa ndiyo wadau wanaotegemewa kuleta amani panapokuwa na shida baina ya wasanii. Badala yake ndiyo kwana anachochea! pathetic!
 
Back
Top Bottom