Mapi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2011
- 6,849
- 2,739
Majani kakinukisha kwa jose chameleon kisa ni wimbo wake wa bomboclat kutumika kama soundtrack kwenye movie ya lupita nyongo iliyoshootiwa marekani. Katika uchunguzi majani kabaini chameleon ndio kalipwa. Majani akawasiliana na chameleon akitaka maelezo jamaa akamdanganya eti kapewa dola 2000 kumbe kabewa zaidi ya dola 50,000. Majani kashtaki COSOTA wakafatilia Uganda bt jamaa hawakujibu chochote. Majani kawasuliana na Walt Disney watayarishaji wa movie wameomba wayamalize nje ya mahakama lakini nao watadili na joseee. Credit bongo5.com
basi tuseme alilipwa kweli hiyo dola elfu mbili
1. kwanini hakumtaarifu Majani kabla ama baada ya kulipwa?
2. kwanini hakuomba ruhusa ya Majani kufanya hivyo?
3. Ni kiasi gani amempa ama amepanga kumpa majani katika hiyo dola 2000?
4. kama amepanga kumpa atampa lini?