Kimenuka P-Funky Majani na Jose Chameleon, kisa wimbo wa 'Bomboclat'


basi tuseme alilipwa kweli hiyo dola elfu mbili
1. kwanini hakumtaarifu Majani kabla ama baada ya kulipwa?
2. kwanini hakuomba ruhusa ya Majani kufanya hivyo?
3. Ni kiasi gani amempa ama amepanga kumpa majani katika hiyo dola 2000?
4. kama amepanga kumpa atampa lini?
 
yawezekana hawakujua, labda chameleone aliwaambia ni yake

yawezekana walijua wakachukulia rahisi
ukisoma hizo wasup msg chamelleone ameaknwoledge kuwa alifanya makosa kwa mwanzoni alipotumia hiyo beat alidai anatumia kama riddim tu na aliahidi kulipa dola 2000 ambayopia hakulipa
 
ukisoma hizo wasup msg chamelleone ameaknwoledge kuwa alifanya makosa kwa mwanzoni alipotumia hiyo beat alidai anatumia kama riddim tu na aliahidi kulipa dola 2000 ambayopia hakulipa
unamaanisha dola 2000 zile alizotakiwa kulipa miaka ile anatumia hii bit?

kama ndivyo, kwanini hakulipa siku zote hizo?
 

Dola 400 bhana, sikiliza audio...
 
yawezekana hawakujua, labda chameleone aliwaambia ni yake

yawezekana walijua wakachukulia rahisi

Ndio maana nashangaa, kampuni kubwa kama WD inakuwaje kufanya mambo bila karatasi zilizothibitishwa.
 
Kwani beat hiyo chameleon hakumlipa majani wakati ana mtengenezea huo wimbo? Nadhani wimbo na beat ni mali ya msanii sio vya producer, bila hivyo basi producer itabidi alipwe kila msanii anapoingiza hela kupitia wimbo na hiyo beat. P funk ilifaa awe analipwa kwa kila show ambayo chameleon ameumia huo wimbo na beat, mauzo ya cd, iTunes, ring tones nk.
 
kama umemsikiliza majani anasema makubaliano ya hiyo dola 2000 ni ya 10yrs back baada ya kuzinguliwa kwanini ametumia beat bila ruhusa na hata hivyo aliendelea kusumbua kulipa hiyo hela na sasa limetokea hili la kuuza huu muziki disney world bila kujari haki ya mmiliki wa beat ambaye ni producer
 

P Funk kasema akulipwa.
 
Beat ni mali ya producer! Get it on your head
 
Kumbe! Mimi nilidhani Lupita Nyongo ni bongo mavi wanaouza nyuchi ili waendelee kubaki town.
 
Hiyo biti ilitumika ktk wimbo wa Pr. Jay na ndipo chameleon nae akaifanyia ngoma yake so ilikua sio mali ya chameleon
 
We acha kudanganya umma ndugu kila mtu anapataga percent zake mfano diamond ile TV ya marekani waliocheza wimbo wake akalipwa T-sh 40ml ziligawanywa had producer akawa na chake
 
Kwanza jua beat hakutengenezewa josee bali alitengenezewa prof jay na feroz kwenye nikusaidieje. Josee akaimba juu ya beat hiyo bila ruhusa ya majani ndio majani akaanza kudai haki yake. Tapeli josee akaahidi angempa usd 2000 wakati huo ambazo hakulipa. Sasa jamaa kama haitoshi akapokea malipo kutoka wilt Disney kama yeye ndio mwenye hati miliki ya hiyo beat. Umeelewa hapo? Majani akamuuliza josee what is this? Jamaa ndo akaanza kujiuma uma oooh naomba namba yako sijui. Majani akampa lakini nadhani majani alishachukia akawa hapokei simu zake akaamua kukinukisha moja kwa moja
 
Ndio mimi jibu langu ni kuwa unahisi walt Disney hawwezi lulipa usd 50000 kwani watapata hasara. Kwa taarifa tu gharama za maandalizi tu ilikuwa zaidi ya dola millioni moja na nusu
Bongo movie ndo wanapata hasara sio Hollywood! Unashangaa kulipa 50000usd wakati kuna movie bajeti yake inazidi 100bilion TZS? Jifunze kuhusu movie industry ya US.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…