Kimenuka: Robbkardashian na Chyna wachafuana mitandaoni

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] yani ndio mana blacchyna na wote aliowatajaa rob n black watakua na madushe usawa wa mpini wa jembe na anawatka huyo mdada kaaz ipo
Yap halaf mahandsome kweli,,sasa ki atazaa tena mtoto mwingine na baba mpya,au ndio anataka arudi kwa Tyga?tyga aliachana na kyle kisa nini?
 
Kwan hapa ni JF ama IG? Mnapoteza credibility ya humu sasa,
You think what is great guys?
 
Yap halaf mahandsome kweli,,sasa ki atazaa tena mtoto mwingine na baba mpya,au ndio anataka arudi kwa Tyga?tyga aliachana na kyle kisa nini?

Kwanza chyna kazaa na tyga ila sasa sijajua na kyle waliachana kisa nin tho wale guys n players so wanaish watakavo
 
Rob alivokua nyau kascreenshot msg wanachat na chyna kasahau kaiachia pale
Na namba ya Chyna sipat picha mseji kama milion kwa chyna leo [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Haja sahau ila kafanya kusudi...kama una kumbuka beef ya the game na meek mill..c meek mill alimpigia the game ili waya malize jamaa hakupokea the aka screen shot number ya mchiz na kupost insta..so ni tabia ya mastar wa mbele kuharibiana
 
Hebu rusha hapa tuone,Chyna anamuambiaje Rob
Napenda umbea kuliko usingizi

78e6092f774beb95a08fce6f21b404a7.jpg
hii ndio aka expose namba ya chyna
 
fc3fb3353cc50004d2b290b95aa17cb7.jpg

Dongo kwa chyna ule mchana kusema alikua anatumia flat tummy tea kukata tumbo kumbe n surgery ya karibia mil 200 za Madaf shenz
 
Kwanza chyna kazaa na tyga ila sasa sijajua na kyle waliachana kisa nin tho wale guys n players so wanaish watakavo
ipo hivi chynaa alitokaa na roby kwa maksudi yaan hajawah mpendaa rob bt alitaka kuwakomeshaa kardashhian esp kyle kwa kuwa kyle alitoka na baba mtot wake ndo maana aliingiaankwa fujo saanaa akaanza kuigaa mpka product za kina k ilimrad kuwavurugaa
 
Ooooh ok hapa nimekumbuka Kyle jenner bas hapa nimeunga dot nlijisahau [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom