McDonaldJr
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 6,386
- 7,558
TI kaingia kichwa kichwa akakutana na mzaramo wa State amechezea za uso katulia duh dizani mwamba ishu imemvuruga anamwaga kuanzia ugali,mboga,maji ya kunawa [emoji23][emoji23] balaa tupu ule ukoo una laana wale inabidi waitwe USA Bahati Mbaya.