Jestkilla
JF-Expert Member
- Apr 23, 2014
- 2,999
- 3,960
unawashwa
Possible mjomba ako ndo ananiwasha..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unawashwa
ahaaaa we dogo tulia nakuatania .hujambo ? sijakuona siku nyingi mitaa ile ya chiniPossible mjomba ako ndo ananiwasha..
ahaaaa we dogo tulia nakuatania .hujambo ? sijakuona siku nyingi mitaa ile ya chini
Ni shida aiseeeRoba analalamika kua chyna hajatulia na kila mara analala na wanaume tofauti.
Hebu jionee hapa sijui ni kiki watajua wao.
View attachment 536218View attachment 536219
So Rob anamwaga maubuyu tu kwenye akaunt yake. Mengine jisomeeni wenyewe.
TI kajiongelesha akapewa makavu live,
kumbe usione wenzetu wana maumbl mazuri ni wanafanya surgery. Chyn alivyojifungua tu akaomba pesa kwa Rob za kufanyiwa upasuaji ili umbo liwe lile lile na zuri zaidi huku akidanganya watu kua ni mazoezi hahaha
sijakuona muda ulikuwa shule nini?Mitaa ile nipo sana tu labda we ndio unapita usiku
sijakuona muda ulikuwa shule nini?
Ahhahahahah jibu zuriiSiwezi jibu yes or No coz sio mahala pake na hata kama yes au No ni personal.fullstop
Ahhahahahah jibu zurii
Changudoa hafugiki daima, si mnaona hata hawa wanaojiita video queen wa bongo....full mzuka wanabaki wanaliwa tu na kila mshamba kisa dau.
Unawatamani sema huna hata mia 5 pole sana
Usinipe pole, kamwe siwezi honga demu kwa ajili ya gegedo sembuse demu wa video queen kwani sioni uzuri wao. Na mimi mwanamke akiwa changudoa tu, wala sina mpango naye.
Yule mtoto mwingine wa cchyna sio rob kumbe!!!!!!ipo hivi chynaa alitokaa na roby kwa maksudi yaan hajawah mpendaa rob bt alitaka kuwakomeshaa kardashhian esp kyle kwa kuwa kyle alitoka na baba mtot wake ndo maana aliingiaankwa fujo saanaa akaanza kuigaa mpka product za kina k ilimrad kuwavurugaa
Yule mwingine ni wa tyga bana huoni mweusiYule mtoto mwingine wa cchyna sio rob kumbe!!!!!!
wewe ushawai kupiga threesome?
Duh..Yule mwingine ni wa tyga bana huoni mweusi
Hehehehe aisee kwa siku wanaume wawili au watatu chyna ana nyege balaaaDuh..
Rob aliamua tu kujilipua mbona Chyna na amber rose wanajulikana