Kimenuka: Robbkardashian na Chyna wachafuana mitandaoni

Kimenuka: Robbkardashian na Chyna wachafuana mitandaoni

Changudoa hafugiki daima, si mnaona hata hawa wanaojiita video queen wa bongo....full mzuka wanabaki wanaliwa tu na kila mshamba kisa dau.
 
Roba analalamika kua chyna hajatulia na kila mara analala na wanaume tofauti.

Hebu jionee hapa sijui ni kiki watajua wao.

View attachment 536218View attachment 536219

So Rob anamwaga maubuyu tu kwenye akaunt yake. Mengine jisomeeni wenyewe.

TI kajiongelesha akapewa makavu live,
kumbe usione wenzetu wana maumbl mazuri ni wanafanya surgery. Chyn alivyojifungua tu akaomba pesa kwa Rob za kufanyiwa upasuaji ili umbo liwe lile lile na zuri zaidi huku akidanganya watu kua ni mazoezi hahaha
Ni shida aiseee
 
ipo hivi chynaa alitokaa na roby kwa maksudi yaan hajawah mpendaa rob bt alitaka kuwakomeshaa kardashhian esp kyle kwa kuwa kyle alitoka na baba mtot wake ndo maana aliingiaankwa fujo saanaa akaanza kuigaa mpka product za kina k ilimrad kuwavurugaa
Yule mtoto mwingine wa cchyna sio rob kumbe!!!!!!
 
ROB huko Twitter hana la maana zaidi ya kulia kwamba alimlend Chyn kumbe Chyna alikwenda kwake kulipia kisas.

Okay ngoja niwape kistory kifupi;

Black Chyna alikuwa ni mchezaji uchi mwenye Kasino huko Marekani, akawa anampenda sana Nicky Minaj mpaka anaiga swaga zake maisha yake na mamake yalikuwa ya hali ya chini sana..

Mungu sio Athumani akapata zali la kuwa video modo. Akafanya video na Tyga inaitwa Rock City. Tyga akamtamani wakawa wapenzi. Tokea hapo maisha ya Chyna yakabadilika akawa na urafiki na watu maarufu kama akina Kim Kardashian, Amber Rose.

Sasa wakabahatika kupata mtoto mmoja na Tyga, bahati mbaya mapenzi yakaenda kombo baada ya Tyga kukutana na mdogow wake Kim anaitwa Kyie.

Kipindi hicho Kylie ana miaka 1, wakawa na mahusiano na Tyga akambwaga Chyna na Chyna alimpenda sana Tyga.

Ukawa ugomvi kwenye mitandao wanatukanana Chyna anammaind Kim kwanini anamsapoti mdogo wake kumuibia bwana wakati walikuwa friends? Ndipo Chyna akamfuata kaka wa Kim na Kyle, ndio huyo Rob sasa.

Akamseduce, Rob alikuwa lonely wanawake hawamtaki maana ni mnene pia ana kibamia, ila Chyna akajifanya kumpenda. Rob akaingia line, akampa mimba. Kumbe mwenzie alitaka kulipa kisasi cha kwanini mdogo wake kamuibia Bwanaake, hivyo nayeye (kukomoa) analala na kaka yake

Bwana unaambiwa baada ya Kyle kuachana na Tyga, Chyna nae akapunguza mapenzi kwa Rob. Akawa hataki tena mtoto wao. Ndio akawa anamtumia picha na video akiliwa uroda.

Masikini Rob anasema anajuta kwani watu walimsihi ila yeye alimpenda hivyo hivyo Chyna.
 
Back
Top Bottom