Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
- Thread starter
-
- #41
Yap halaf mahandsome kweli,,sasa ki atazaa tena mtoto mwingine na baba mpya,au ndio anataka arudi kwa Tyga?tyga aliachana na kyle kisa nini?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] yani ndio mana blacchyna na wote aliowatajaa rob n black watakua na madushe usawa wa mpini wa jembe na anawatka huyo mdada kaaz ipo
yaan nilitaman amber aingiliee alafu inaomekana chyna kampa roby siri zote yaan amber akiingiaa mkenge kwishaa habar yake
Insta walifuta ile picha ila twitter ipo badoWalimblock kumbe hahahahaahhaha
,kumbe nimekuelewa sasa
Wewe huoni majukwaa mengine ,Kwan hapa ni JF ama IG? Mnapoteza credibility ya humu sasa,
You think what is great guys?
Yap halaf mahandsome kweli,,sasa ki atazaa tena mtoto mwingine na baba mpya,au ndio anataka arudi kwa Tyga?tyga aliachana na kyle kisa nini?
Kwan hapa ni JF ama IG? Mnapoteza credibility ya humu sasa,
You think what is great guys?
Hebu rusha hapa tuone,Chyna anamuambiaje RobRob alivokua nyau kascreenshot msg wanachat na chyna kasahau kaiachia pale
Na namba ya Chyna sipat picha mseji kama milion kwa chyna leo [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
AiseeNdio tualama twa makinikia ya blacchyna ambayo ynamtoa povu la kufulia maturubai Rob
Haja sahau ila kafanya kusudi...kama una kumbuka beef ya the game na meek mill..c meek mill alimpigia the game ili waya malize jamaa hakupokea the aka screen shot number ya mchiz na kupost insta..so ni tabia ya mastar wa mbele kuharibianaRob alivokua nyau kascreenshot msg wanachat na chyna kasahau kaiachia pale
Na namba ya Chyna sipat picha mseji kama milion kwa chyna leo [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hebu rusha hapa tuone,Chyna anamuambiaje Rob
Napenda umbea kuliko usingizi
Duuu haya asante.. Natumaini utaleta info zaidi kule kwa wakubwaYaache kama yalivo maana leo dunia imesimam toka saa nane mchana hakuna kilichokua kinaendlea zaid ya drama za hawa watu
Rob anauza kitandaa.. Alichomkwichikwichi chayna
Haha asanteHapa ni wasomi wa ubuyu tu
ipo hivi chynaa alitokaa na roby kwa maksudi yaan hajawah mpendaa rob bt alitaka kuwakomeshaa kardashhian esp kyle kwa kuwa kyle alitoka na baba mtot wake ndo maana aliingiaankwa fujo saanaa akaanza kuigaa mpka product za kina k ilimrad kuwavurugaaKwanza chyna kazaa na tyga ila sasa sijajua na kyle waliachana kisa nin tho wale guys n players so wanaish watakavo
ipo hivi chynaa alitokaa na roby kwa maksudi yaan hajawah mpendaa rob bt alitaka kuwakomeshaa kardashhian esp kyle kwa kuwa kyle alitoka na baba mtot wake ndo maana aliingiaankwa fujo saanaa akaanza kuigaa mpka product za kina k ilimrad kuwavurugaa
ilaa mitandao kiboko looh mwanmke kajuaa kudanganyaa duniaa huyu eti flat tummy tee lol wachaa watu wanunue kumbe mwenzao kashafanya yake
Dongo kwa chyna ule mchana kusema alikua anatumia flat tummy tea kukata tumbo kumbe n surgery ya karibia mil 200 za Madaf shenz