KIMENUKA: WANAHARAKATI WATAKA CHADEMA IFUTWE KWA MASLAHI MAPANA YA TAIFA

Baada ya miaka ya nyuma ccm kufanikiwa kudhoofisha vyama vya upinzani vyenye nguvu, kwa sasa mbinu zao zimeshindwa kwa cdm baada ya mbinu hizo kuwa outdated. Kwa sasa ccm haina tena uwezo ama ushawishi wa kuidhoofisha cdm, inachotaka sasa ni kuifuta cdm. Naifananisha ccm na mtu aliyekuwa kijana kisha akazaeeka, lakini hataki kukubali kuwa wamekuja vijana wengine wenye nguvu na ushawishi kuliko yeye, matokeo yake ni kutaka kuua hao vijana kwa wivu🤣
 
YES,
kwa ustawi wa demokrasia ya Tanzania, naunga mkono chadema kufutwa jumla
Kuna uzi humu member mmoja analalamika jukwaa hili siku hizi limejaa maduanzi na michango ya kijinga.
Huu ndio mfano halisi wa duanzu na mchango wa kijinga.
 
Kuna uzi humu member mmoja analalamika jukwaa hili siku hizi limejaa maduanzi na michango ya kijinga.
Huu ndio mfano halisi wa duanzu na mchango wa kijinga.
Gentleman,
muerevu hawezi kubabaika na malalamiko au manung'uniko nonsense ya member yoyote useless wa jf, hasa anaejipiga kifua tu kua yeye ni bora au muhimu kuliko wengine, wakati hana hata contents za maana.

kitaalamu hiyo ni completetly nonsense,
ulijiunga jf kwa uhuru na hiyari yako, ukijichokea, tambaa zako mbele jukwaani kimya kimya, kwa uhuru na hiyarri yako, hakuna haja ya kumbwelambwela na kupiga mayowe useless jukwaani
 
Ah easier tu wafate kwan wakifuta cdm ndo wamefauta wenye akili tz au, wenye akili wanazid kuzaliwa kila siku. Challenge iko palepale years to come.
 
machoko yakishapigwa miti kwenye makorido ya lumumba yanaingia jf kukoment
 
Kwa hali ilivyo sasa tatizo Wala si CHADEMA Wala sio LISU,Wala si heche.

Chadema haikushiriki uchaguzi,LISU alikuwa ndani.
Lakini still yakatokea yaliyotokea.

Tatizo lipo hapa CHANZO Cha tatizo ni HIKI
1)UELEWA WA WANANCHI umeongezeka sana ule UJINGA sasa imeisha,kizazi kilichopo Cha gen z ni kizazi kipya kizazi Cha AI artificial intelligence Cha dot com,Cha KUONGEZEKA kwa maarifa ,shule za sekondari za kata,elimu ya uraia watu Wana UELEWA mkubwa,umeme imefika mpaka vijijini taarifa za habari zinafika kwa NJIA ya mitandao ya kijamii sio Kutegemea vyombo rasmi vya habari kama redio na magazeti sasa hivi TAARIFA zinafika za motomoto kabla hazijahaririwa kwa sababu ya kulia kwa utandawazi na VIJANA wengi ambao ndio idadi kubwa ya population Wana UELEWA na elimu ya darasa la Saba form form mpaka vyuo vikuu WENGI graduates WA masters kabisa wapo kitaa ni wamejiajiri..hata wasiosoma lakini elimu ya uraia wananyo wanaelewa NYEUPE NA NYEUSI ...WANANCHI sio wajinga Tena .

2) DIASPORA na mitandao ya kijamii..hata VYAMA vya siasa vikinyamaza kupitia mitandao ya kijamii na utandawazi ,globalisation DUNIA ni Kijiji sasa..bado watu WA DUNIANI DIASPORA watafanya Ile kazi iliyopaswa kufanya na upinzani.

3)MBINU ZA KISIASA zilizotumika ZAMANI wakati WA enzi za UJINGA hazifanyi kazi Tena kwa KIZAZI HIKI CHA GEN Z
kuwanunulia kofia na kanga wakati WA uchaguzi.

KUKIFUTA CDM ama kuwashikilia wapinzani haitasaidia badala ya kutatua tatizo itaongeza.

NINI KIFANYIKE
1)Muafaka na MARIDHIANO kati ya serikali na wananchi,sio MARIDHIANO kati ya serikali na VYAMA vya siasa.(chadema)
 
Kusema chadema ifutwe is just a name na haitosai chochote wanawez kujiita ata DEMO , LABDA wakiwez kuua wanachadema hapo watafk lengo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…