KIMENUKA: WANAHARAKATI WATAKA CHADEMA IFUTWE KWA MASLAHI MAPANA YA TAIFA

KIMENUKA: WANAHARAKATI WATAKA CHADEMA IFUTWE KWA MASLAHI MAPANA YA TAIFA

Historia inasema kipindi ambacho CHADEMA ilizuiliwa kufanya siasa au kuzuiliwa kushiriki uchaguzi ndipo CCM walipata Asilimia 98% ya kura za urais.
 
Kwa hali ilivyo sasa tatizo Wala si CHADEMA Wala sio LISU,Wala si heche.

Chadema haikushiriki uchaguzi,LISU alikuwa ndani.
Lakini still yakatokea yaliyotokea.

Tatizo lipo hapa CHANZO Cha tatizo ni HIKI
1)UELEWA WA WANANCHI umeongezeka sana ule UJINGA sasa imeisha,kizazi kilichopo Cha gen z ni kizazi kipya kizazi Cha AI artificial intelligence Cha dot com,Cha KUONGEZEKA kwa maarifa ,shule za sekondari za kata,elimu ya uraia watu Wana UELEWA mkubwa,umeme imefika mpaka vijijini taarifa za habari zinafika kwa NJIA ya mitandao ya kijamii sio Kutegemea vyombo rasmi vya habari kama redio na magazeti sasa hivi TAARIFA zinafika za motomoto kabla hazijahaririwa kwa sababu ya kulia kwa utandawazi na VIJANA wengi ambao ndio idadi kubwa ya population Wana UELEWA na elimu ya darasa la Saba form form mpaka vyuo vikuu WENGI graduates WA masters kabisa wapo kitaa ni wamejiajiri..hata wasiosoma lakini elimu ya uraia wananyo wanaelewa NYEUPE NA NYEUSI ...WANANCHI sio wajinga Tena .

2) DIASPORA na mitandao ya kijamii..hata VYAMA vya siasa vikinyamaza kupitia mitandao ya kijamii na utandawazi ,globalisation DUNIA ni Kijiji sasa..bado watu WA DUNIANI DIASPORA watafanya Ile kazi iliyopaswa kufanya na upinzani.

3)MBINU ZA KISIASA zilizotumika ZAMANI wakati WA enzi za UJINGA hazifanyi kazi Tena kwa KIZAZI HIKI CHA GEN Z
kuwanunulia kofia na kanga wakati WA uchaguzi.

KUKIFUTA CDM ama kuwashikilia wapinzani haitasaidia badala ya kutatua tatizo itaongeza.

NINI KIFANYIKE
1)Muafaka na MARIDHIANO kati ya serikali na wananchi,sio MARIDHIANO kati ya serikali na VYAMA vya siasa.(chadema)
Ni ukweli mchungu sana huu,tatizo hawapo tayari kwa maridhiano.
 
Gentleman,
muerevu hawezi kubabaika na malalamiko au manung'uniko nonsense ya member yoyote useless wa jf, hasa anaejipiga kifua tu kua yeye ni bora au muhimu kuliko wengine, wakati hana hata contents za maana. :pedroP:

kitaalamu hiyo ni completetly nonsense,
ulijiunga jf kwa uhuru na hiyari yako, ukijichokea, tambaa zako mbele jukwaani kimya kimya, kwa uhuru na hiyarri yako, hakuna haja ya kumbwelambwela na kupiga mayowe useless jukwaani:NoGodNo:
Kwako mkata inya Bora Sana hapo lumumba njaaa unapost Kisha wewe huyo huyo una comment inafulahisha sana kwamba unayatumikia hayo majambazi kwa roho moja kabisa yanii umebakia zwazwa pekeyako wengine wote wameukimbia ujinga shitukaaa unakata viuno lumumba Wana kuchekaaaaa
 
Back
Top Bottom