Kimenuka: Wananchi waanza kuweka michoro ya Katiba mpya Mitaani

Kimenuka: Wananchi waanza kuweka michoro ya Katiba mpya Mitaani

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Hii ni ishara ya kwamba sasa Mzuka wa Katiba mpya umekwishafika kila mtaa , kwa sisi wapenda haki hii ni hatua kubwa sana , kwa kifupi ni kwamba Katiba mpya sasa haizuiliki tena .

Kitaa_wameanza_kuelewa_umuhimu_wa_%23KatibaMpya.jpg
 
Hii ni ishara ya kwamba sasa Mzuka wa Katiba mpya umekwishafika kila mtaa , kwa sisi wapenda haki hii ni hatua kubwa sana , kwa kifupi ni kwamba Katiba mpya sasa haizuiliki tena .

View attachment 2005048
Badala ya kutaja genge la wanaufipa, unasingizia wananchi ambao wako bize na kilimo cha mvua za vuli. Hizi ngonjera za katiba wananchi wameshawapuuza mda mrefuuu.
 
Badala ya kutaja genge la wanaufipa, unasingizia wananchi ambao wako bize na kilimo cha mvua za vuli. Hizi ngonjera za katiba wananchi wameshawapuuza mda mrefuuu.
TMA washasema hakuna mvua , unazungumzia zile mvua za kununua Thailand ?
 
Wako bize na kilimo wapi,ipo siku tutasema kwa lugha moja Tunataka katiba mpya
Katiba mpya italetwa na wananchi wasio na mlengo wa itikadi yoyote ya chama cha siasa, kwahiyo magenge ya wanaufipa tayari yamesha najisi zoezi zima la katibaaa. Katiba ya wananchi haiwezi kuletwa na mihemko ya vyama vya siasa. Ikumbukwe kuwa katiba ni kio cha wenye vyama na wasio na vyamaaa. Hivyo sasa wanaufipa hangaikieni katiba ya ufipani sio katiba ya wananchiii.
 
TMA washasema hakuna mvua , unazungumzia zile mvua za kununua Thailand ?
Maeneo mengi tuko bize na kuandaa mashamba na wengine tumeshaanza kupandaa. Nyie endeleeeni na ngonjera zenu za katiba. Watanzania wameshawaapuuza, mpaka siku wao wenyewe watakapo amua, sio hilo genge lenu.
 
Back
Top Bottom