Kimenuka: Wananchi waanza kuweka michoro ya Katiba mpya Mitaani

Kimenuka: Wananchi waanza kuweka michoro ya Katiba mpya Mitaani

Kwahiyo members wapya hawana mawazo mazuri acha hulka za kijuha Mkuu toa hoja pinga kwa hoja sio kuattack watu kwa upya wao ndani ya jukwaa..

Anajiona yeye mkongwe na ana haki ya kuamua nani acomment,sijui wale waliojiunga 2006 wakati JF inaanzishwa wao watasemaje sasa
 
Kuogopa katiba mpya ni dhihirisho inapendelea watawala. Tatizo siyo leo au kesho ila yaweza leta madhara makubwa sana sana. Sijuwi hao WAZELENDO wanaelewa au wanafikiri siye tuko tofauti na madhara yanayo na yaliyotokea nchi zingine?!
 
Ana tabia hii sana. Ni ulimbukeni kwa kweli badala ya kuona hoja yako yeye anaona upya wako.Utafikiri yeye alizaliwa akawa member wa jf

Ni dalili ya kuishiwa hoja,nilidhani pengine yeye ni kati ya wale members wa mwanzo kabisa 2006,kumbe na yeye alijiunga baadae sana JF ikowa tayari ni popular,sasa sijui na yeye enzi anajiunga hakuwa anaruhusiwa kuchangia mada?
 
Maeneo mengi tuko bize na kuandaa mashamba na wengine tumeshaanza kupandaa. Nyie endeleeeni na ngonjera zenu za katiba. Watanzania wameshawaapuuza, mpaka siku wao wenyewe watakapo amua, sio hilo genge lenu.
Wale wa mtaa wakijani/wa mazuzu pekee ndio waliopuuza hitaji la watanzania la katiba mpya.
 
We unapenda haki au uchochezi?uliwahi kuingia mitaani kuitafuta haki?haki haipatikani mitandaoni mzee!!
 
Wale wa mtaa wakijani/wa mazuzu pekee ndio waliopuuza hitaji la watanzania la katiba mpya.
Hakuna mtanzania anayehitaji katiba kama sio nyie wanaufipa. Siku wananchi wakihitaji katiba wataidai wenyewe pasipokuwa na mihemko ya vyama vya usiasa siasaa
 
Hakuna mtanzania anayehitaji katiba kama sio nyie wanaufipa. Siku wananchi wakihitaji katiba wataidai wenyewe pasipokuwa na mihemko ya vyama vya usiasa siasaa
Ila ungesema na kundi lako kati yaniliyoyataja.
 
IMG-20211123-WA0024.jpg
 
Katiba mpya ni Lazima sio ombi. Wakati wa kuidai unakaribia
Napendekeza katiba mpya ituwekee kifungu chetu wananchi wenye hasira kali 😅😅😅 ili tuweze kufanya social justice tu kwa kiongozi ambaye atakuwa kafanya utumbo kisha mahakama inakwepa kwepa kumhukumu!😅
 
Back
Top Bottom