Kimenuka: Wananchi waanza kuweka michoro ya Katiba mpya Mitaani

1636498354411.png

1636498294573.png
 
Maeneo mengi tuko bize na kuandaa mashamba na wengine tumeshaanza kupandaa. Nyie endeleeeni na ngonjera zenu za katiba. Watanzania wameshawaapuuza, mpaka siku wao wenyewe watakapo amua, sio hilo genge lenu.
Mnapinda mgongo halafu mnapangiwa pa kuuza na wale ambao hawajui hata Mahindi yanalimwaje ! Katiba mpya itaruhusu mwananchi kuuza mazao yake popote
 
Daini katiba ya chama chenu . siku wananchi wenyewe watakapooona umuhim wa hiyo katiba, wataidai. Sio kwa mihemko yenu wanaufipa. Mnachonga vikaragosi wenyewe halafu mnaviposti wenyewe kisha mnasingizia wananchi, hovyo kabisaa. Mwanzoni mlikuja na kiki ya chama chenu kudai katiba, baada ya mambo kuwamagumu mumebadilisha lugha eti wananchi. Yaaani mnachekesha saaanaa
 
Joined 8/8/2021
 
Mchoro umekaa kifala sana labda kama KATIBA ni ya Kanisa au Chama flani.
 
Hii ni ishara ya kwamba sasa Mzuka wa Katiba mpya umekwishafika kila mtaa , kwa sisi wapenda haki hii ni hatua kubwa sana , kwa kifupi ni kwamba Katiba mpya sasa haizuiliki tena .

View attachment 2005048
Hiki kijiwe cha huyu mchoraji inanabidi kivunjwe, akusanye tu hizo kopo zake za rangi asepe maana umeshamjazia Nzi.😂😂😂
 
Hii ni ishara ya kwamba sasa Mzuka wa Katiba mpya umekwishafika kila mtaa , kwa sisi wapenda haki hii ni hatua kubwa sana , kwa kifupi ni kwamba Katiba mpya sasa haizuiliki tena .

View attachment 2005048
Hii habari ya katiba mpya nadhani serikali na wadau wa siasa wakae mezani watafute namna ya kupata muafaka na kama ikiwezekana katiba mpya ipatikane kuliko kuendelea kukomaa kwa pande zote mbili. Upande unaoona hakuna haja ya katiba mpya na ule unaodai katiba mpya. Mara zote malumbano na mabishano huishia kwenye vurugu ambazo sisi raia wa kawaida hatuzitaki maana ndiyo tutakuwa waanga in case of anything bad@
 
Hii ni ishara ya kwamba sasa Mzuka wa Katiba mpya umekwishafika kila mtaa , kwa sisi wapenda haki hii ni hatua kubwa sana , kwa kifupi ni kwamba Katiba mpya sasa haizuiliki tena .

View attachment 2005048

Hii ni ishara ya kwamba sasa Mzuka wa Katiba mpya umekwishafika kila mtaa , kwa sisi wapenda haki hii ni hatua kubwa sana , kwa kifupi ni kwamba Katiba mpya sasa haizuiliki tena .

View attachment 2005048

Hii ni ishara ya kwamba sasa Mzuka wa Katiba mpya umekwishafika kila mtaa , kwa sisi wapenda haki hii ni hatua kubwa sana , kwa kifupi ni kwamba Katiba mpya sasa haizuiliki tena .

View attachment 2005048
Ni kijana amepewa kazi na huyo askofu uchwara amchore. Unaonana Pembeni kuna hata zana za kazi na rangi za fundi. Acha kudanganya watu. Sisi wananchi katiba mpya siyo kipaumbele chetu cha sasa
 
Kwahiyo members wapya hawana mawazo mazuri acha hulka za kijuha Mkuu toa hoja pinga kwa hoja sio kuattack watu kwa upya wao ndani ya jukwaa..
Ana tabia hii sana. Ni ulimbukeni kwa kweli badala ya kuona hoja yako yeye anaona upya wako.Utafikiri yeye alizaliwa akawa member wa jf
 
Back
Top Bottom