Kwahiyo members wapya hawana mawazo mazuri acha hulka za kijuha Mkuu toa hoja pinga kwa hoja sio kuattack watu kwa upya wao ndani ya jukwaa..
Joined 8/8/2021
Mungu Ibariki CHADEMAHii ni ishara ya kwamba sasa Mzuka wa Katiba mpya umekwishafika kila mtaa , kwa sisi wapenda haki hii ni hatua kubwa sana , kwa kifupi ni kwamba Katiba mpya sasa haizuiliki tena .
View attachment 2005048
Ana tabia hii sana. Ni ulimbukeni kwa kweli badala ya kuona hoja yako yeye anaona upya wako.Utafikiri yeye alizaliwa akawa member wa jf
Basi weye mjanja wa ule mtaa wa mazuzuπ€Έ.Kumbe na ww nj mjinga kias hiki, nlfkirigi unaakili baada ya kusoma baadhi ya threads zako
Wale wa mtaa wakijani/wa mazuzu pekee ndio waliopuuza hitaji la watanzania la katiba mpya.Maeneo mengi tuko bize na kuandaa mashamba na wengine tumeshaanza kupandaa. Nyie endeleeeni na ngonjera zenu za katiba. Watanzania wameshawaapuuza, mpaka siku wao wenyewe watakapo amua, sio hilo genge lenu.
Huyo ni wewe sio mwananchiHii ni ishara ya kwamba sasa Mzuka wa Katiba mpya umekwishafika kila mtaa , kwa sisi wapenda haki hii ni hatua kubwa sana , kwa kifupi ni kwamba Katiba mpya sasa haizuiliki tena .
View attachment 2005048
Kwahiyo unataka tuingie mitaani ?We unapenda haki au uchochezi?uliwahi kuingia mitaani kuitafuta haki?haki haipatikani mitandaoni mzee!!
Hakuna mtanzania anayehitaji katiba kama sio nyie wanaufipa. Siku wananchi wakihitaji katiba wataidai wenyewe pasipokuwa na mihemko ya vyama vya usiasa siasaaWale wa mtaa wakijani/wa mazuzu pekee ndio waliopuuza hitaji la watanzania la katiba mpya.
Ila ungesema na kundi lako kati yaniliyoyataja.Hakuna mtanzania anayehitaji katiba kama sio nyie wanaufipa. Siku wananchi wakihitaji katiba wataidai wenyewe pasipokuwa na mihemko ya vyama vya usiasa siasaa
Hii habari hii !!
Yani kala rushwa ya 75m halafu fine million 2 nani akakae jela sasa! Ntawapa 5 kabisa wanifikishe mpaka home kwa mke wanguπ
Napendekeza katiba mpya ituwekee kifungu chetu wananchi wenye hasira kali π π π ili tuweze kufanya social justice tu kwa kiongozi ambaye atakuwa kafanya utumbo kisha mahakama inakwepa kwepa kumhukumu!πKatiba mpya ni Lazima sio ombi. Wakati wa kuidai unakaribia
Hiyo SI saw na mkumpongeza mlarushwa huyo.