Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kimeo ndio nini?
Kimeo ndio nini?
kilimi, kile kinachoonekana ukipanua mdomo mwishoni mwa koo. Huwa kinakatwa kienyeji.
pole sana mkuu tezi dume si mchezo inabidi uwahi marekani!nimepatwa na tezi
kelele za nini kitu usichokijua? bora unyamaze na upite kimya kimya
Hujui kimeo nini ni hospital apeleke masaburi??Kimeo ndio nini? wee nenda hosp acha ubahili mpk kwenye afya yako. Majuto ni mjukuu na milele huja kinyumee na utabaki ukisema ningeee, laitii..
Genyeza weekend mbaya Hasaukiwa naIlooo ukweli unaumaee... Ndio walee watuma post za "Jamani leo hali yangu sio nzrii" badala ya kwenda hosp ama kufata ushauri mnarukaaa kama nyani juu ya mti. polee..