kimeo kimekuwa kirefu ghafla

kimeo kimekuwa kirefu ghafla

Nchi Kavu

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2010
Posts
4,290
Reaction score
2,468
nimepatwa na tezi nadhani lakini nikawa nahisi kitu kooni. sasa nimechunguza nimegundua ni kimeo kimerefuka sana. kabla sijaenda hospitali ningependa kupata maoni toka huku
 
Kimeo ndio nini? wee nenda hosp acha ubahili mpk kwenye afya yako. Majuto ni mjukuu na milele huja kinyumee na utabaki ukisema ningeee, laitii..
 
kelele za nini kitu usichokijua? bora unyamaze na upite kimya kimya
 
Pole wahi hospitali, niliwahi kusikia huwa wanakikata lakini tafuta ushauri kwa madakari tofauti kati ya watatu mpaka watano kabla ya kufanya final decision.
 
Ilooo ukweli unaumaee... Ndio walee watuma post za "Jamani leo hali yangu sio nzrii" badala ya kwenda hosp ama kufata ushauri mnarukaaa kama nyani juu ya mti. polee..
 
Kitabibu kimeo kuna dawa zake, muone Dr wa Hosp yyt atakusaidia!
Traditionally huwa kinakatwa
 
Pole wahi hospitali, niliwahi kusikia huwa wanakikata lakini tafuta ushauri kwa madakari tofauti kati ya watatu mpaka watano kabla ya kufanya final decision.

naahukuru mkuu. kuna walevi humu Mungu awasehe tu
 
Ilooo ukweli unaumaee... Ndio walee watuma post za "Jamani leo hali yangu sio nzrii" badala ya kwenda hosp ama kufata ushauri mnarukaaa kama nyani juu ya mti. polee..
Genyeza weekend mbaya Hasaukiwa na
Mwanaume mwenzio
 
Back
Top Bottom