KWELI Kimeo sio Ugonjwa. Ukataji wa kiungo hiki unaweza kusababisha Madhara mengi ikiwamo kifo

Taarifa hii imethibitika kuwa ya kweli baada ya kufanya tathmini ya kina
Mimi nilikikata na wanangu walikatwa faida za kukata ni nyingi kuliko za kutokukata.
 
Hakuna lolote watu wanakatwa na maisha Yanaendelea
 
Mi nilikata utotoni na sikupatwa na changamoto yoyote,now pia nafikiria kukata maana Nina kikohozi kisichoisha tangu 20/10/2023 na kisichosikia tangawizi,malimao,kitunguu swaumu na asali mbichi. Msaada kwa mwenye kumjua mtaalam wa kukata
 
haki ya Mungu ya umri wangu wote mimi nilikua sijui kimeo ni nini.

nasikiaga tu oyaa kimeo hicho mwanangu … 😁🙌
 
Baada ya kusoma taarifa hii nimeanza kukohoa ovyo ovyo sana pamoja na kushindwa kuhema kwa nguvu. Nimejiangalia kiooni nikakiona kipo kinanicheka tu

Sijui nikikate🤔
 
Gharama ni kiasi ganj?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…