Kimetulamba kwenye written interview

Kimetulamba kwenye written interview

Haisaidii hata nkipitia ya std seven...
Complain yangu ni kwamba usaili ulikuwa nje ya taaluma yangu...Sasa wananiletea lab test za viwandani na shuleni kweli...
Kumbukuka naenda kuhudumia wagonjwa...
Anyway uko wapi....?😁
Ntakupigiaaaaaa 😹
 
Ebwanaa eeh..Leo kwenye interview (DUCE) picha linaanza Hilo hall tuloingia limeshona balaah!
Yani hamna upenyo watu Kama wote almost kama 600..na hapo Kuna wengine wamezuliwa kuingia kwa kukosa vigezo..

Picha lenyewe Sasa....[emoji116]
Kwa upande WA lab technician Mtihani waliyotuletea ni WA maabara za viwandani[emoji23] yani hamna hata swali Moja la afya.

Yani wametuletea ma volumetric analysis, ma elasticity,vernial calliper Yale ya O-level...yani .zile practical za form 4 ndo tumeletewa hamna swali Moja la afya [emoji3064]ule Mtihani kwa mwanafunzi wa form 3&4 alokwiva vizuri anapata yote.

Halafu Mtihani ni multiple choice na dk 40 yani Kila jibu unaliona sawa [emoji16] Licha ya kubanana ila Ukisema upige Chabo kwa mwenzako kimekulamba unaangalizia nini uongo au maana Kila mtu amestaajabu tu anakuna kichwa

Na wasimamizi hawakuwa na muda wa ku tu supervise yani...limetushuka balaah. Baada ya kutoka nkamuuliza rafiki yangu wa pharmacy akanambia nao ndo vile vile hawwjatolewa swali Moja la afya..

My take...hayo maswali tuloletewa ingebidi waletewe walimu wa sayansi kwa hili tumeonewa au basi wangetuchanganyia ila sio kutufanyia hivi. Kama ni lengo ni kutupunguza basii limetiki haswaaa[emoji19]
Sasa mbona mumefumua hadi cut off mark ya selection for Oral ikawa 80
 
Woyooooo
Results are out alhamdulilah nimefanikiwa kuvuka😄..a Sasa najiandaa na oral interview trh 12
Sjui 60 nimeipataje😄😄
Nway me genius 😄😄...woyooooooo
 
Ebwanaa eeh..Leo kwenye interview (DUCE) picha linaanza Hilo hall tuloingia limeshona balaah!
Yani hamna upenyo watu Kama wote almost kama 600..na hapo Kuna wengine wamezuliwa kuingia kwa kukosa vigezo..

Picha lenyewe Sasa....👇
Kwa upande WA lab technician Mtihani waliyotuletea ni WA maabara za viwandani😂 yani hamna hata swali Moja la afya.

Yani wametuletea ma volumetric analysis, ma elasticity,vernial calliper Yale ya O-level...yani .zile practical za form 4 ndo tumeletewa hamna swali Moja la afya 🥺ule Mtihani kwa mwanafunzi wa form 3&4 alokwiva vizuri anapata yote.

Halafu Mtihani ni multiple choice na dk 40 yani Kila jibu unaliona sawa 😁 Licha ya kubanana ila Ukisema upige Chabo kwa mwenzako kimekulamba unaangalizia nini uongo au maana Kila mtu amestaajabu tu anakuna kichwa

Na wasimamizi hawakuwa na muda wa ku tu supervise yani...limetushuka balaah. Baada ya kutoka nkamuuliza rafiki yangu wa pharmacy akanambia nao ndo vile vile hawwjatolewa swali Moja la afya..

My take...hayo maswali tuloletewa ingebidi waletewe walimu wa sayansi kwa hili tumeonewa au basi wangetuchanganyia ila sio kutufanyia hivi. Kama ni lengo ni kutupunguza basii limetiki haswaaa😒
Hongereni sana wengine hatujaona hata tangazo la wito
 
Poleni ndio mchujo huo mkuu ...au aplitude test next time upitie aplitude test upate experience
 
Back
Top Bottom