Kimetulamba kwenye written interview

Khee...Sasa Mimi ni mwalimu??
Kwanini wasituchanganyie maswali...mbona ma nurse na co waletolewa afya pure ..!!
Hatujapendaaaaa
Lab Practicals hazina o-level au PhD.
Poleni, yalitukuta mwaka flani tulifanyia hapo hapo DUCE watu wa IT tuliletewa maswali ya new technology SAP-HANA wakati huo 99.999% ya wataalam wote wa Database Africa nzima hawatumii au hawajui kuhusu hiyo tech mpya.
Kwa bahati nilikuwa nime subscribe tech forum flani ya nje walikuwa wananitumia news feed na maelezo ya tech mpya kila zikitoka hivyo nilijua kidogo nikatoboa written interview nikaja kukwama kijinga kwenye practical afu mavitu ya kawaida tu.
Watu Kama 1200 tulitoboa 13 tu.
 
Pambana ununue mbuzi 3 aina ya BOER GOAT pure. Jike 2 na dume moja. Kila mmoja 190,000 hivi ni vitoto vya miezi 2 au 3

Ukiwalisha vizuri wanazaa hadi 4. Na kawaida wanazaa 2.

Banda liwe la juu yaani wasilalie mkojo. Pawe pakavu.

Hawachagui chakula ndiyo uzuri wao.

Dume anakua na hadi kg 80 anauzwa hadi laki 5 kwa bei ya jumla.

Nimeandika tu sababu naona hizi mentality za kuajiriwa zina madhara makubwa sana. Watu wanajichelewesha sana kimaisha.

Karibuni kwa kubeza! Na dharau na kejeli.
 
Interesting....
Iila ngoja nianze na kilimo cha matikiti na nyanya kwanza...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…