Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lab Practicals hazina o-level au PhD.Khee...Sasa Mimi ni mwalimu??
Kwanini wasituchanganyie maswali...mbona ma nurse na co waletolewa afya pure ..!!
Hatujapendaaaaa
Pambana ununue mbuzi 3 aina ya BOER GOAT pure. Jike 2 na dume moja. Kila mmoja 190,000 hivi ni vitoto vya miezi 2 au 3Ebwanaa eeh..Leo kwenye interview (DUCE) picha linaanza Hilo hall tuloingia limeshona balaah!
Yani hamna upenyo watu Kama wote almost kama 600..na hapo Kuna wengine wamezuliwa kuingia kwa kukosa vigezo..
Picha lenyewe Sasa....👇
Kwa upande WA lab technician Mtihani
waliyotuletea ni WA maabara za viwandani😂 yani hamna hata swali Moja la afya...
Yani wametuletea ma volumetric analysis, ma elasticity Yale ya O-level...yani .zile practical za form 4 ndo tumeletewa hamna swali Moja la afya 🥺ule Mtihani kwa mwanafunzi
WA form 3&4 alokwiva vizuri anapata yote...
Halafu Mtihani ni multiple choice na dk 40 yani Kila jibu unaliona sawa 😁
Licha ya kubanana ila Ukisema upige Chabo kwa mwenzako kimekulamba unaangalizia nini uongo au maana Kila mtu amestaajabu tu anakuna kichwa
Na wasimamizi hawakuwa na muda wa ku tu supervise yani...limetushuka balaah
Baada ya kutoka nkamuuliza rafiki yangu wa pharmacy akanambia nao ndo vile vile hawwjatolewa swali Moja la afya..
My take...hayo maswali tuloletewa ingebidi waletewe walimu wa sayansi kwa hili tumeonewa au basi wangetuchanganyia ila sio kutufanyia hivi...
Kama ni lengo ni kutupunguza basii limetiki haswaaa😒
pOa nakupitia.Pale uliponitoa asubuhi 😍😍
Interesting....Pambana ununue mbuzi 3 aina ya BOER GOAT pure. Jike 2 na dume moja. Kila mmoja 190,000 hivi ni vitoto vya miezi 2 au 3
Ukiwalisha vizuri wanazaa hadi 4. Na kawaida wanazaa 2.
Banda liwe la juu yaani wasilalie mkojo. Pawe pakavu.
Hawachagui chakula ndiyo uzuri wao.
Dume anakua na hadi kg 80 anauzwa hadi laki 5 kwa bei ya jumla.
Nimeandika tu sababu naona hizi mentality za kuajiriwa zina madhara makubwa sana. Watu wanajichelewesha sana kimaisha.
Karibuni kwa kubeza! Na dharau na kejeli.
Matikiti gani hayo unayotaka kukima.Interesting....
Iila ngoja nianze na kilimo cha matikiti na nyanya kwanza...
Niliona paper zamani sana ya Accounts lakini walitoa maswali ya first semister ya first year. Aisee nikamwambia ndugu yangu kunywa pepsi na nyama choma huwezi kufaulu. Maana umesahau kila kitu ndugu yangu.Umeona eeh ...yani Wana ongeankuwa ni uzembe hawaja wahi ku experience hiki kitu
ndo kama hizo sasa subiri mkekaEnhee zikoje...
Si Bora hiyo... hii yetu mbaya I see...kutolewa maswali o level...daahNiliona paper zamani sana ya Accounts lakini walitoa maswali ya first semister ya first year. Aisee nikamwambia ndugu yangu kunywa pepsi na nyama choma huwezi kufaulu. Maana umesahau kila kitu ndugu yangu.