The Legacy
JF-Expert Member
- Jun 1, 2022
- 5,879
- 11,318
Usikate tamaa Huenda hata muda wa kusahihisha hawana ukapita baby WanguNshapoa ..tafanyaje Sasa ..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usikate tamaa Huenda hata muda wa kusahihisha hawana ukapita baby WanguNshapoa ..tafanyaje Sasa ..
Uyu si kaolewa juzi tu..mda wa kusoma hanaKwamba kapata 2% 😂
mtapendaKhee...Sasa Mimi ni mwalimu??
Kwanini wasituchanganyie maswali...mbona ma nurse na co waletolewa afya pure ..!!
Hatujapendaaaaa
Aaah wapi uongo huo.Nnn my love unanipa moyo tu..kwanza mitihani inasahisha computer upooo...!?
Khee...Sasa Mimi ni mwalimu??
Kwanini wasituchanganyie maswali...mbona ma nurse na co waletolewa afya
Kwani ilikua interview ya ualimu au Afya?? Sometimes we have to consider humanityKhee...Sasa Mimi ni mwalimu??
Kwanini wasituchanganyie maswali...mbona ma nurse na co waletolewa afya pure ..!!
Hatujapendaaaaa
Kama maswali ya sekondari na wewe umefaulu sekondari, huoni ni upendeleo na Bahati kwako?Ebwanaa eeh..Leo kwenye interview (DUCE) picha linaanza Hilo hall tuloingia limeshona balaah!
Yani hamna upenyo watu Kama wote almost kama 600..na hapo Kuna wengine wamezuliwa kuingia kwa kukosa vigezo..
Picha lenyewe Sasa....👇
Kwa upande WA lab technician Mtihani
waliyotuletea ni WA maabara za viwandani😂 yani hamna hata swali Moja la afya...
Yani wametuletea ma volumetric analysis, ma elasticity Yale ya O-level...yani .zile practical za form 4 ndo tumeletewa hamna swali Moja la afya 🥺ule Mtihani kwa mwanafunzi
WA form 3&4 alokwiva vizuri anapata yote...
Halafu Mtihani ni multiple choice na dk 40 yani Kila jibu unaliona sawa 😁
Licha ya kubanana ila Ukisema upige Chabo kwa mwenzako kimekulamba unaangalizia nini uongo au maana Kila mtu amestaajabu tu anakuna kichwa
Na wasimamizi hawakuwa na muda wa ku tu supervise yani...limetushuka balaah
Baada ya kutoka nkamuuliza rafiki yangu wa pharmacy akanambia nao ndo vile vile hawwjatolewa swali Moja la afya..
My take...hayo maswali tuloletewa ingebidi waletewe walimu wa sayansi kwa hili tumeonewa au basi wangetuchanganyia ila sio kutufanyia hivi...
Kama ni lengo ni kutupunguza basii limetiki haswaaa😒
lakini si umejaza walau chochote kituHaswaaa 😂
Pole sana mkuuEbwanaa eeh..Leo kwenye interview (DUCE) picha linaanza Hilo hall tuloingia limeshona balaah!
Yani hamna upenyo watu Kama wote almost kama 600..na hapo Kuna wengine wamezuliwa kuingia kwa kukosa vigezo..
Picha lenyewe Sasa....👇
Kwa upande WA lab technician Mtihani
waliyotuletea ni WA maabara za viwandani😂 yani hamna hata swali Moja la afya...
Yani wametuletea ma volumetric analysis, ma elasticity Yale ya O-level...yani .zile practical za form 4 ndo tumeletewa hamna swali Moja la afya 🥺ule Mtihani kwa mwanafunzi
WA form 3&4 alokwiva vizuri anapata yote...
Halafu Mtihani ni multiple choice na dk 40 yani Kila jibu unaliona sawa 😁
Licha ya kubanana ila Ukisema upige Chabo kwa mwenzako kimekulamba unaangalizia nini uongo au maana Kila mtu amestaajabu tu anakuna kichwa
Na wasimamizi hawakuwa na muda wa ku tu supervise yani...limetushuka balaah
Baada ya kutoka nkamuuliza rafiki yangu wa pharmacy akanambia nao ndo vile vile hawwjatolewa swali Moja la afya..
My take...hayo maswali tuloletewa ingebidi waletewe walimu wa sayansi kwa hili tumeonewa au basi wangetuchanganyia ila sio kutufanyia hivi...
Kama ni lengo ni kutupunguza basii limetiki haswaaa😒
😅😅Ilikuwa ya afyaa..
Wala hawajakosea, sema huna kumbukumbu.Ebwanaa eeh..Leo kwenye interview (DUCE) picha linaanza Hilo hall tuloingia limeshona balaah!