Kimetulamba kwenye written interview

Kimetulamba kwenye written interview

Khee...Sasa Mimi ni mwalimu??
Kwanini wasituchanganyie maswali...mbona ma nurse na co waletolewa afya

Khee...Sasa Mimi ni mwalimu??
Kwanini wasituchanganyie maswali...mbona ma nurse na co waletolewa afya pure ..!!
Hatujapendaaaaa
Kwani ilikua interview ya ualimu au Afya?? Sometimes we have to consider humanity
 
Na ndivyo inapaswa iwe, hiyo ndio intavyuu tunapima uelewa na upeo sio mambo uliyokariri shule. We unalia kuna watu wameteleza na wamelia na wewe. Subiri matokeo utaona.
 
Ebwanaa eeh..Leo kwenye interview (DUCE) picha linaanza Hilo hall tuloingia limeshona balaah!
Yani hamna upenyo watu Kama wote almost kama 600..na hapo Kuna wengine wamezuliwa kuingia kwa kukosa vigezo..

Picha lenyewe Sasa....👇
Kwa upande WA lab technician Mtihani
waliyotuletea ni WA maabara za viwandani😂 yani hamna hata swali Moja la afya...

Yani wametuletea ma volumetric analysis, ma elasticity Yale ya O-level...yani .zile practical za form 4 ndo tumeletewa hamna swali Moja la afya 🥺ule Mtihani kwa mwanafunzi
WA form 3&4 alokwiva vizuri anapata yote...
Halafu Mtihani ni multiple choice na dk 40 yani Kila jibu unaliona sawa 😁
Licha ya kubanana ila Ukisema upige Chabo kwa mwenzako kimekulamba unaangalizia nini uongo au maana Kila mtu amestaajabu tu anakuna kichwa
Na wasimamizi hawakuwa na muda wa ku tu supervise yani...limetushuka balaah

Baada ya kutoka nkamuuliza rafiki yangu wa pharmacy akanambia nao ndo vile vile hawwjatolewa swali Moja la afya..
My take...hayo maswali tuloletewa ingebidi waletewe walimu wa sayansi kwa hili tumeonewa au basi wangetuchanganyia ila sio kutufanyia hivi...
Kama ni lengo ni kutupunguza basii limetiki haswaaa😒
Kama maswali ya sekondari na wewe umefaulu sekondari, huoni ni upendeleo na Bahati kwako?
 
Pole sana mkuu
 
Wala hawajakosea, sema huna kumbukumbu.
Kama muda wote unashinda MMU unategemea utakumbuka mambo ya nyuma?
Msingi mkubwa wa Medical Lab na Pharmacy ni Chemistry, sasa kama hujui Volumetric Analysis, na mashaka sana kama hata Chuo kikuu ulitoka vizuri.

Ni msiba.
 
Back
Top Bottom