Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndio Prime ministerTulipokutana juzi ..?
Pole kumbe we ni msomi wa haja. Hongera utapata ajira majira yako yakitimia.ASante we acha tu..
jamaa wanambinu nyingi sana za kupunguza watu sisi wali tuletea maswali ya Easy 3 na moja kujieleza alafu mda dk 40 asilimia kubwa ya watahiniwa hawakuweza kufanya maswali yote wengi waliishia swali la 2na 3 aiseeEbwanaa eeh..Leo kwenye interview (DUCE) picha linaanza Hilo hall tuloingia limeshona balaah!
Yani hamna upenyo watu Kama wote almost kama 600..na hapo Kuna wengine wamezuliwa kuingia kwa kukosa vigezo..
Picha lenyewe Sasa....👇
Kwa upande WA lab technician Mtihani waliyotuletea ni WA maabara za viwandani😂 yani hamna hata swali Moja la afya.
Yani wametuletea ma volumetric analysis, ma elasticity,vernial calliper Yale ya O-level...yani .zile practical za form 4 ndo tumeletewa hamna swali Moja la afya 🥺ule Mtihani kwa mwanafunzi wa form 3&4 alokwiva vizuri anapata yote.
Halafu Mtihani ni multiple choice na dk 40 yani Kila jibu unaliona sawa 😁 Licha ya kubanana ila Ukisema upige Chabo kwa mwenzako kimekulamba unaangalizia nini uongo au maana Kila mtu amestaajabu tu anakuna kichwa
Na wasimamizi hawakuwa na muda wa ku tu supervise yani...limetushuka balaah. Baada ya kutoka nkamuuliza rafiki yangu wa pharmacy akanambia nao ndo vile vile hawwjatolewa swali Moja la afya..
My take...hayo maswali tuloletewa ingebidi waletewe walimu wa sayansi kwa hili tumeonewa au basi wangetuchanganyia ila sio kutufanyia hivi. Kama ni lengo ni kutupunguza basii limetiki haswaaa😒
Ati mtanzania mnyonge kabisa🤣Mungu akupe nini sasa kama mtihani wenyewe ni wakidato cha tatu
hapo mama kamua kumwaga maji hayo maswali hata mtanzania mnyonge kabisa anapata yote
Umenikumbusha Kuna mwaka tulikuwa kwenye usaili wa ajira maswali yalikuja topic moja tu ya probability..😁Unacheka eeh😁 haya...
😁😁Ukawa unaangalia jinsi watu walivyo vaa na kusuka.Hahahaha yani we acha tu na uchakaramu wangu nimepoa nilikuwa mdogooo😂😂 nimenywea
Hatariiii yani..jamaa wanambinu nyingi sana za kupunguza watu sisi wali tuletea maswali ya Easy 3 na moja kujieleza alafu mda dk 40 asilimia kubwa ya watahiniwa hawakuweza kufanya maswali yote wengi waliishia swali la 2na 3 aisee