raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,504
- 35,520
Panua vizuriNiiname..?🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Panua vizuriNiiname..?🤣
Kumbe huwa unacomment aisee...Mi najua huwa unalike tu.Nakuja kuimumunya umwage lita 💦💦
Uzuri wa JF ukifeli kwenye jambo dogo au ukiomba ushauri wanafanya reference ulivyokuwa unatamba kwenye jukwaa la MMU kuwa wewe ni bingwa wa kula tunda kimasihara na wanakujibu kimasihara.🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪
Hongera sanaNshapasuaaa
Naam!Transfer ni huwa zinawahusu waajiriwa tuu
Aisee 😎Niiname..?🤣
Ebwanaa eeh..Leo kwenye interview (DUCE) picha linaanza Hilo hall tuloingia limeshona balaah!
Yani hamna upenyo watu Kama wote almost kama 600..na hapo Kuna wengine wamezuliwa kuingia kwa kukosa vigezo..
Picha lenyewe Sasa....
Acha kulia lengo sio hiz mtihan lengo let ni mkono mtupu haulambwi hata sisi hatuwapendi,,,,vip mtoto wako unafikiria kusoma kama wewe?Ebwanaa eeh..Leo kwenye interview (DUCE) picha linaanza Hilo hall tuloingia limeshona balaah!
Yani hamna upenyo watu Kama wote almost kama 600..na hapo Kuna wengine wamezuliwa kuingia kwa kukosa vigezo..
Picha lenyewe Sasa....👇
Kwa upande WA lab technician Mtihani waliyotuletea ni WA maabara za viwandani😂 yani hamna hata swali Moja la afya.
Yani wametuletea ma volumetric analysis, ma elasticity,vernial calliper Yale ya O-level...yani .zile practical za form 4 ndo tumeletewa hamna swali Moja la afya 🥺ule Mtihani kwa mwanafunzi wa form 3&4 alokwiva vizuri anapata yote.
Halafu Mtihani ni multiple choice na dk 40 yani Kila jibu unaliona sawa 😁 Licha ya kubanana ila Ukisema upige Chabo kwa mwenzako kimekulamba unaangalizia nini uongo au maana Kila mtu amestaajabu tu anakuna kichwa
Na wasimamizi hawakuwa na muda wa ku tu supervise yani...limetushuka balaah. Baada ya kutoka nkamuuliza rafiki yangu wa pharmacy akanambia nao ndo vile vile hawwjatolewa swali Moja la afya..
My take...hayo maswali tuloletewa ingebidi waletewe walimu wa sayansi kwa hili tumeonewa au basi wangetuchanganyia ila sio kutufanyia hivi. Kama ni lengo ni kutupunguza basii
Mwana, o'level ulipitaje sasa?Ebwanaa eeh..Leo kwenye interview (DUCE) picha linaanza Hilo hall tuloingia limeshona balaah!
Yani hamna upenyo watu Kama wote almost kama 600..na hapo Kuna wengine wamezuliwa kuingia kwa kukosa vigezo..
Picha lenyewe Sasa....👇
Kwa upande WA lab technician Mtihani waliyotuletea ni WA maabara za viwandani😂 yani hamna hata swali Moja la afya.
Yani wametuletea ma volumetric analysis, ma elasticity,vernial calliper Yale ya O-level...yani .zile practical za form 4 ndo tumeletewa hamna swali Moja linalihusu taaluma yetu ya medical lab 🥺ule Mtihani kwa mwanafunzi wa form 3&4 alokwiva vizuri anapata yote.
Halafu Mtihani ni multiple choice na dk 40 yani Kila jibu unaliona sawa 😁 Licha ya kubanana ila Ukisema upige Chabo kwa mwenzako kimekulamba unaangalizia nini uongo au maana Kila mtu amestaajabu tu anakuna kichwa
Na wasimamizi hawakuwa na muda wa ku tu supervise yani...limetushuka balaah. Baada ya kutoka nkamuuliza rafiki yangu wa pharmacy akanambia nao ndo vile vile hawwjatolewa swali Moja la afya..
My take...hayo maswali tuloletewa ingebidi waletewe walimu wa sayansi kwa hili tumeonewa au basi wangetuchanganyia ila sio kutufanyia hivi. Kama ni lengo ni kutupunguza basii limetiki haswaaa😒
Nyuma kwakoUKo wapi..😌
Ww ni kilaza tu hujasoma mbona matokeo ya maksi watu wamefanya vzr tu??halafu acha kutoa matokeo jumuishi kuwa mtihani ulikuwa mgumu, jiongelee ww binafsi kuwa ulikugonga siyo wote!Ebwanaa eeh..Leo kwenye interview (DUCE) picha linaanza Hilo hall tuloingia limeshona balaah!

Kheee 😁