Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
Watajuana wao
Mkuu mimi nakushukuru sana kwa muda wako,mambo mengi juu ya vita ya kiuchumi kati ya China na Usa wewe ndio mdadavuaji mzuri
Fart of warTrump alianzisha battle ambayo iko juu ya uwezo wake.
The Art of the Deal (Trump) vs The Art the of War (Xi Jinping)
"The greatest victory is that which requires no battle."
"Victorious warriors win first and then go to war, while defeated warriors go to war first and then seek to win."
"The supreme art of war is to subdue the enemy without fighting."
"Supreme excellence consists of breaking the enemy's resistance without fighting."
–Sun Tzu (Chinese general and strategist)
Si huwa inasemwa kuwa Marekani ni kinara wa demokrasia duniani na raia zake wako huru kutoa maoni na kuikosoa serikali.Msemaji wa White House amekuja kasi mwendo wa Ngiri mkia juu kinyeo nje na kuishutumu Amazon kuwa "Hiki ni kitendo cha chuki na kisiasa cha Amazon."
Unamaanisha Wamarekani sio?mwaka huu mtaucheza sana tu, muziki wa DJ.Trump, na MC Musk ktk 1&2.
Fart of war
Si huwa inasemwa kuwa Marekani ni kinara wa demokrasia duniani na raia zake wako huru kutoa maoni na kuikosoa serikali.
Namna gani tena pale?
Jeff Bezos anapata alichokitaka.Baada ya Trump kupandisha ushuru kwa bidhaa za mataifa mbalimbali duniani ikiwemo China sasa Wamarekani wameanza kujionea kupanda kwa gharama za bidhaa.
Amazon moja ya wauzaji wakubwa wa bidhaa za kutoka China wamekuja na hii idea ili wajisafishe mbele ya wateja wao wasionekane wabaya lakini baadhi ya wachambuzi wanasema ni kama kupandikiza chuki kwa utawala wa Trump.
Amazon wamesema kwenye kila bidhaa wataonyesha bei ya bidhaa na kiasi kilichoongezeka kwenye bei hiyo kutokana na ushuru uliongezwa na utawala wa Trump.
Msemaji wa White House amekuja kasi mwendo wa Ngiri mkia juu kinyeo nje na kuishutumu Amazon kuwa "Hiki ni kitendo cha chuki na kisiasa cha Amazon."
Sijajua kosa la Amazon ni lipi? Kusema ukweli kunawafanya Amazon waonekane wana chuki na utawala wa Trump.
China is winning by not doing anything and simply waiting. Trump master tariff war is exploding in his face. The game is the game.
🤣🤣🤣Msemaji wa White House amekuja kasi mwendo wa Ngiri mkia juu kinyeo nje
Jeff Bezos anapata alichokitaka.
Alikuwa na nafasi ya kumkataa Trump tangu mwanzo, hakufanya hivyo.