Kimeumana huko Marekani kati ya White House na Amazon. Chanzo ni vita vya ushuru kati ya Marekani na China

Screenshot_20250429-185314~2.png
 
Yeah sahihi mkuu asante kwa habari picha​
Ukishatoa uzi uwe basi unawaachia na wengine nao wachangie, sasa wewe utoe mada kisha maoni yote ni wewe pia.

It becomes monotonous and routine.
 
Hata wewe hapa umechangia sio?
 
Mambo mengine yanakuzwa tu.

Sioni kilicho kikubwa hapo.

Hata kipindi cha Biden, Amazon waliweka inflation tracker.

Overreaction.

It’s transparency.
 
Kwa nini White House wamekuja fasta kuishutumu Amazon? Kama lingekuwa jambo la kawaida si wangepotezea tu​
 
Si nimesema wame overreact….hujaona au hujaelewa nilichokiandika?

Nisome kwa kuweka hisia zako pembeni.
 
Mkuu mimi nakushukuru sana kwa muda wako,mambo mengi juu ya vita ya kiuchumi kati ya China na Usa wewe ndio mdadavuaji mzuri
Mkuu asante sana kawaida tu. Wala usijali kwa hilo, pia nashukuru Sana Kwa kulitambua hilo, asante sana zidi kunifuatilia Kwa nondo Zaid na madini yaliyojitosheleza.

Pamoja Sana 🤜🏿🤛🏿🫶🏿🤘🏿💪🏿🤞🏿🤏🏿👌🏿🤙🏿👊🏿

Nyau de adriz NYANGWISI
 
Nimekujibu wewe uliposema huoni kikubwa kikichopo hapo. Wao White House wamekiona ​
Hujaona nilipoandika kuwa ni overreaction?

Check your emotions before you read what I write.

Nimesema wame overreact. Ambacho hujaelewa hapo ni nini? You that slow?

Hata kama mtu anakubaliana na wewe bado unataka kubishana naye?

Such a dumbass.
 
Bado haujanielewa nilichomaanisha
 
Mkuu asante sana kawaida tu. Wala usijali kwa hilo, pia nashukuru Sana Kwa kulitambua hilo, asante sana zidi kunifuatilia Kwa nondo Zaid na madini yaliyojitosheleza.

Pamoja Sana 🤜🏿🤛🏿🫶🏿🤘🏿💪🏿🤞🏿🤏🏿👌🏿🤙🏿👊🏿

Nyau de adriz NYANGWISI
You days are numbered soon In Shaa Allaah nitashusha uzi ambayo utakwenda kuharibu heshima yako ndogo uliyonayo ila kabla sijafanya hivyo nitashusha kauzi kadogo kama Preview before a serious strike.
 
Mkuu asante sana kawaida tu. Wala usijali kwa hilo, pia nashukuru Sana Kwa kulitambua hilo, asante sana zidi kunifuatilia Kwa nondo Zaid na madini yaliyojitosheleza.

Pamoja Sana 🤜🏿🤛🏿🫶🏿🤘🏿💪🏿🤞🏿🤏🏿👌🏿🤙🏿👊🏿

Nyau de adriz NYANGWISI
Hapa kuna kashida kidogo
 
Back
Top Bottom