Kimeumana huko Marekani kati ya White House na Amazon. Chanzo ni vita vya ushuru kati ya Marekani na China

Gharama za ushuru anazilipa mlaji/ mtumiaji wa mwisho.
 
Trump anapaswa kuangalia upya sera zake. Tatizo ni kwamba kila wakimjaribu wanagonga mwamba. May be waangalie amewezaje kufika hapo alipo kisha watumie njia nyingine kumpiku. Ilimshindwa corona itamuweza tariff?
 
Si wanamdanfanya kuwa usa bado ni number and exceptional kumbe dunia imebadikla sana
 
Xi yupo smart sana upstairs kuliko ndugu Trump, mwenzie anaongoza Kwa kutumia akili huku yeye anatumia chuki na mabavu, na kauli yake "make America great again" huku unawakomoa hadi marafiki zako hakika pamoja na mazuri yake machache hasa kwenye masuala ya maadili, lakini kwenye angle zingine ndugu Trump is the worst president ever in history of that gigantic north America country
 
Sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…