Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Nadhani Kenya League Yao ndio ya Kwanza Kuwa Televised SuperSport (Dstv-Multchoise)Pia mnakuwanga na viwanja vya mpira huko? Mko na national league ambayo inakuwa televised?
Sikujua kama Kuna soka huko asee.. Najua nyie watu wa kukimbia kimbia tu. Mko na vyama vingapi vya soka huko vinavyoendesha ligi?
Wacha ujinga. Nimekuambia kwamba Kenya iko ranked na Fifa juu yenu kwenye soka. Wacha maneno mengi ya ujinga. Tumewashinda hadi kwenye soka sio riadha tu.Pia mnakuwanga na viwanja vya mpira huko? Mko na national league ambayo inakuwa televised?
Sikujua kama Kuna soka huko asee.. Najua nyie watu wa kukimbia kimbia tu. Mko na vyama vingapi vya soka huko vinavyoendesha ligi?
Isitoshe Kenya iko ranked juu ya TZ kwenye soka na Fifa.Nadhani Kenya League Yao ndio ya Kwanza Kuwa Televised SuperSport (Dstv-Multchoise)
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh eti mnakuwanga, ha ha ha hiki ni Kiswahili cha nyang'au haswa.Pia mnakuwanga na viwanja vya mpira huko? Mko na national league ambayo inakuwa televised?
Sikujua kama Kuna soka huko asee.. Najua nyie watu wa kukimbia kimbia tu. Mko na vyama vingapi vya soka huko vinavyoendesha ligi?
Hahah nyang'au ni washkaji zangu nina namba kule..Duh eti mnakuwanga, ha ha ha hiki ni Kiswahili cha nyang'au haswa.
Hii imecopiwa na kupestiwaFIFA yaipigiga marufuku Kenya ( kutoshiriki) katika vitendo vyote vya soka = FIFA yaipiga marufuku Kenya kushiriki katika vitendo vyote vya soka.
Rekebisha lugha mkuu kwa faida ya wanajamvi kwa jumla.
DRC CongoBabu Inonga anatokea wapi