Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
"Fedha zote ambazo MO alikuwa anazitoa yaani za kununua mchicha, kununua kandambili boxer za wachezaji zozote zile ambazo ametoa kwenye Simba Sports Club anazidai, na ameelekeza zibadilishwe ndio ziwe mtaji wake ambao anatakiwa autoe Simba Sports Club."
"Kama tunakopeswa hizo hela kwani lazima tukope kwa MO? Taasisi za fedha si zipo nyingi tunaweza tukakopa? Kwanza kama ni mkopo haujafuata taratibu alikopa nani na kwanini walikopa, na mkopo huo unawekwa kwa ajili ya aseti ipi, hapa ukiondoa udhamini maana ana udhamini."
CPA Issa Masoud,Mjumbe wa Bodi Simba SC.
Nb: hakuna rangi mtaacha kuiona[emoji23][emoji23][emoji23]