Kimeumana: Mo ameanza kudai Hadi pesa zilizonunua mchicha, ndala na boxer za wachezaji

Kimeumana: Mo ameanza kudai Hadi pesa zilizonunua mchicha, ndala na boxer za wachezaji

Lakini ukimsikiliza huyo jamaa nae ana hoja mpaka sasa kisheria Mo hajanunua hizo hisa ina maana hata katiba imepindishwa ili kumfavour Mo. Ujanja umekua mwingi sana tuliwahi kuoneshwa hundi ya 20B lakini mpaka sasa haijulikani imeingia kwenye akaunti gani. Pamoja na Mo kua mtu muhimu ila nae ni tatizo ana makando kando mengi na yeye ndo chanzo kikuu cha matatizo yote ya sasa ya simba kwa maana kama angefuata taratibu naamini kusingekua na huu mgawanyiko.
Lakini pia wajumbe wanapaswa kujiwajibisha kwa kuwadanganya wanachama na mashabiki wa simba kwa kitendo chao cha kukaa kimya muda wote na kudanganya umma pale zile 20B zilipitangazwa zimewekwa.
 
Lakini ukimsikiliza huyo jamaa nae ana hoja mpaka sasa kisheria Mo hajanunua hizo hisa ina maana hata katiba imepindishwa ili kumfavour Mo. Ujanja umekua mwingi sana tuliwahi kuoneshwa hundi ya 20B lakini mpaka sasa haijulikani imeingia kwenye akaunti gani. Pamoja na Mo kua mtu muhimu ila nae ni tatizo ana makando kando mengi na yeye ndo chanzo kikuu cha matatizo yote ya sasa ya simba kwa maana kama angefuata taratibu naamini kusingekua na huu mgawanyiko.
20240609_004426.jpg
 
Hao wakurugenzi upande wa wanachama wamejiwahi tu ilikutafuta huruma ya wanachama wasiwajibishwe Mo keshaondoka wajumbe wake hata hao wa wanachama nao waondoke hawana hoja ya maana za kuwa fanya wabaki wamefeli hakuna msafi humo Cadena kamaliza yote

Huyu jamaa mwenye CPA ya mchongo kaongea vitu vyepesi sana.

Kathibisha alichosema Cadena na Che Malone japokua Uchebe alishavisema Mapema. Bodi ya wakurugenzi Imejaa makanjanja na wapigaji kibarua kinataka kuota nyasi wanatafuta huruma ya wanachama
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom