Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena Kwa club yenye mashibiki wenye furaha AfricaDah! Yaani mpaka hela ya kununulia mchicha watu wanaidai!! Hii siyo poa hata kidogo.
Taratibu mkuu 😁Nenda South Africa utapata majibu, mijitu myeusi inachojuwa ni wizi tu.
Makaburu mdodo mdogo wanarudishwa kutawala upya, na uchaguzi ujao ANC inapigwa chini watachaguliwa chama cha wazungu ndio watu wa maendeleo.
Simba wenyewe tu wangeenda kwa muwekezaji wa psg,ndio huyo huyo kwa Man city wangeenda na proposal nzuri angewekeza simba muarabu anapenda sn mpira hata kwa 25% or 30% angewekaHuu utapeli ndio alikuwa anaufanya Manji Yanga, kila siku utasikia yeye ndio anaidai timu.
Fukuza Wahindi wote weka Waarabu hawanaga longolongo kwenye maswala ya pesa.
Ndo hvyo....Kuna upigajiIvi timu Ina miaka zaidi ya 80 inashindwq kujiendesha mpaka itegemee MTU mmoja
Imeshindwa kuwa na vitega uchumi vyake mpaka Leo
Mo Kama ana hela si angeanzisha timu yake angalau tuwe timu zenye ushindani kuliko ujanja ujanja anaufanya hapo
Wabongo nini ni tunaweza Sasa
Mashabiki na matangazo tu yangewekewa utaratibu mzuri timu ingeingiza mapato ya kutosha
Hizi akili zetu zikoje ,
Taasisi Ina miaka 80 inategemea MTU mmoja ambaye ana umri mdogo kuliko hata taasisi
Naona ni upuuzi kabisa
Wanachama wa Simba hawana maamuzi yoyote ndani timu
au nao ndo hawachangii hata Kadi wanasubiri Mo awalipie !! kelele tu
Sijui niite ni undondocha au ni nini ???
Huyo Mwamedi timu ya African Lyon ilikuwa yake ikamshinda, hapo Simba hayupo kwa ajili ya mapenzi kwa Simba bali ni plattform nzuri kwa biashara zake.Ivi timu Ina miaka zaidi ya 80 inashindwq kujiendesha mpaka itegemee MTU mmoja
Imeshindwa kuwa na vitega uchumi vyake mpaka Leo
Mo Kama ana hela si angeanzisha timu yake angalau tuwe timu zenye ushindani kuliko ujanja ujanja anaufanya hapo
Wabongo nini ni tunaweza Sasa
Mashabiki na matangazo tu yangewekewa utaratibu mzuri timu ingeingiza mapato ya kutosha
Hizi akili zetu zikoje ,
Taasisi Ina miaka 80 inategemea MTU mmoja ambaye ana umri mdogo kuliko hata taasisi
Naona ni upuuzi kabisa
Wanachama wa Simba hawana maamuzi yoyote ndani timu
au nao ndo hawachangii hata Kadi wanasubiri Mo awalipie !! kelele tu
Sijui niite ni undondocha au ni nini ???
Sheikh Mansoor.Embu tupe mfano mkuu
Huyo siyo muwekezaji mwenye nia nzuri"Fedha zote ambazo MO alikuwa anazitoa yaani za kununua mchicha, kununua kandambili boxer za wachezaji zozote zile ambazo ametoa kwenye Simba Sports Club anazidai, na ameelekeza zibadilishwe ndio ziwe mtaji wake ambao anatakiwa autoe Simba Sports Club."
"Kama tunakopeswa hizo hela kwani lazima tukope kwa MO? Taasisi za fedha si zipo nyingi tunaweza tukakopa? Kwanza kama ni mkopo haujafuata taratibu alikopa nani na kwanini walikopa, na mkopo huo unawekwa kwa ajili ya aseti ipi, hapa ukiondoa udhamini maana ana udhamini."
CPA Issa Masoud,Mjumbe wa Bodi Simba SC.
Nb: hakuna rangi mtaacha kuiona[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 3012371
Mto,Simba wenyewe tu wangeenda kwa muwekezaji wa psg,ndio huyo huyo kwa Man city wangeenda na proposal nzuri angewekeza simba muarabu anapenda sn mpira hata kwa 25% or 30% angeweka
Yes they can km wanawekeza bandarini hawatashindwa mpirani any person anaweza wekeza as long as proposal ni nzuri and they trust itMto,
Muwekezaji wa PSG na MAN CITY anazo biashara zake hapa Tanzania?
MkuuYes they can km wanawekeza bandarini hawatashindwa mpirani any person anaweza wekeza as long as proposal ni nzuri and they trust it
Upo sahihi,tuna malighafi nyingi sn hapa tz ni jinsi utavyompatia proposal yako hapo ndio utofauti,wao wanatangaza mpk qatar airways yao,so sioni shida hilo likifanyia ukizingatia hawana timu Africa kwa sasaMkuu
Nilikuwa namaanisha hivi, Mo dewji ana biashara zake kawekeza simba hivyo pia anapata faida kupitia simba, Bakhresa kawekeza azam na kupitia Azam anapata faida pia vivyo hivyo kwa GSM.
ndio nauliza huyo tajiri wa PSG na MAN CITY anazo biashara zake hapa Tanzania? Kwa maana hata kule alipowekeza ana biashara anayotangaza kupitia timu hizo.
Uwekezaji wowote unahitaji faida au nakosea mkuu?