Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
Mwamuzi msaidizi namba mbili wa mchezo kati ta Yanga dhidi ya Kagera Sugar, Shaban Mussa kutoka Geita ameondolewa kwenye ratiba ya waamuzi kwa mizunguko mitano (5) kwa kosa la kushindwa kutafsiri vema sheria za mpira wa miguu.
Mwamuzi huyo alikataa bao halali lililofungwa na mchezaji, Joseph Guede wa klabu ya Yanga kwa tafsiri yake kuwa mchezaji huyo alikuwa ameotea.
#WasafiSports
Mwamuzi huyo alikataa bao halali lililofungwa na mchezaji, Joseph Guede wa klabu ya Yanga kwa tafsiri yake kuwa mchezaji huyo alikuwa ameotea.
#WasafiSports