Kimeumana: Refa aliyekataa goli la Guede afungiwa

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Mwamuzi msaidizi namba mbili wa mchezo kati ta Yanga dhidi ya Kagera Sugar, Shaban Mussa kutoka Geita ameondolewa kwenye ratiba ya waamuzi kwa mizunguko mitano (5) kwa kosa la kushindwa kutafsiri vema sheria za mpira wa miguu.

Mwamuzi huyo alikataa bao halali lililofungwa na mchezaji, Joseph Guede wa klabu ya Yanga kwa tafsiri yake kuwa mchezaji huyo alikuwa ameotea.

#WasafiSports
1715603302035.jpg
 
#WasafiSportsView attachment 2989349
leo gamondi alitaka kupigana tena
 
Arudishe goli bana
 
HUYUMBWAA ALITUMWA TUSICHUKUE UBINGWA SHIDA TFF SOMEN ADHABU MAREFA WAWILI WANAKATAAA MAGOLI KIRAHISI KABISA ATI MECHI TANO OFF PUMBAFUU
 
Bado yule alochezesha kmc vs Azam Jana, PROFESSIONAL HANDBALL kwa kipa qa Azam Jana alipeta, akizuga hajaona.
 
Back
Top Bottom