Ile match ipewe drawBado wale waliihujumu Tabora dhidi ya Simba.
Utopolo, utawajua tu! Huwa hawajifichi. Ni kama pembe la ng'ombe!Bado wale waliihujumu Tabora dhidi ya Simba.
leo gamondi alitaka kupigana tenaMwamuzi msaidizi namba mbili wa mchezo kati ta Yanga dhidi ya Kagera Sugar, Shaban Mussa kutoka Geita ameondolewa kwenye ratiba ya waamuzi kwa mizunguko mitano (5) kwa kosa la kushindwa kutafsiri vema sheria za mpira wa miguu.
Mwamuzi huyo alikataa bao halali lililofungwa na mchezaji, Joseph Guede wa klabu ya Yanga kwa tafsiri yake kuwa mchezaji huyo alikuwa ameotea.
#WasafiSportsView attachment 2989349
Arudishe goli banaMwamuzi msaidizi namba mbili wa mchezo kati ta Yanga dhidi ya Kagera Sugar, Shaban Mussa kutoka Geita ameondolewa kwenye ratiba ya waamuzi kwa mizunguko mitano (5) kwa kosa la kushindwa kutafsiri vema sheria za mpira wa miguu.
Mwamuzi huyo alikataa bao halali lililofungwa na mchezaji, Joseph Guede wa klabu ya Yanga kwa tafsiri yake kuwa mchezaji huyo alikuwa ameotea.
#WasafiSportsView attachment 2989349
Umeshahesabiwaaa!Hizo hasira mpelekee moo [emoji23][emoji23][emoji23]