Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 9,980
- 34,404
Na huba likikolea hakuna kitu utasikia..Hata kukupost mara moja kwa mwaka hutaki? Mimi nisingefuta hiyo picha jamani. Kuna muda huba linakukolea, unatamani umtambulishe mwenzio kwa dunia nzima[emoji38][emoji38]
Ila ndiyo hivyo..Hawa Watoto wa Mama Mkwe Hawapendi kupostiwa..